Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halaliMimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu
Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake
Sasa swali langu ni hivi
Je ikiyokea tukaachana mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?
Uhai na amani ya moyo ni bora kuliko maliIla mali zinauma jaman.. sasa si uishi alone tuu 🤣🤣🤣
Dhana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa Cap 29 R.E. 2023Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali
Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali
Mali mnagawana ndio ila kulingana na mchango wa kila mtu, matunzo ya watoto pia yatazingatiwa. Hapo mtakosa divorce tuMimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu
Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake
Sasa swali langu ni hivi
Je ikiyokea tukaachana mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?
Sheria ya mwaka gani iyo? Jf kila mtu mjuaji! Ebu tupe iyo Sheria inayosema ivyo kwa heshima yako hapa tunajua uwezi kusema uongo.Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali
Sio kweliMiaka 8 kisheria mnatambulika kama mke na mume hata kama hamkuenda kanisani au msikitini.
Kwahiyo jipange.
Mali mnagawana ndio ila kulingana na mchango wa kila mtu, matunzo ya watoto pia yatazingatiwa. Hapo mtakosa divorce tu
Ukweli ni upi?Sio kweli
Wewe mwenyewe unamwita mke wako halafu unataka sheria isimtambua kua huyo ni mkeo?Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8
Unasema ikitokea mkaachana,mnaachana kwa sheria ipi au utaratibu upi? Watu wanao achana ni wale waliofunga ndoa tu,iwe kidini au kiserikali.Je ikiyokea tukaachana mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?
Wewe mwenyewe unamwita mke wako halafu unataka sheria isimtambua kua huyo ni mkeo?
Unasema ikitokea mkaachana,mnaachana kwa sheria ipi au utaratibu upi? Watu wanao achana ni wale waliofunga ndoa tu,iwe kidini au kiserikali.
Watoto wako wana umri gani? Umri wao ndio utaamua waishi na nani, au watoto wachague Mahakamani wanataka kuishi na nani,
Anza kuwapanga watoto wako kuanzia sasa ila kama inawezekana kuvumilia mpaka watoto wakue itakua bora zaidi,
Mali zinatafutwa,hapo kitu muhimu kwako ni hao wanao zaidi,kama kuna mali unaweza kuzibadilisha jina kuanzia sasa,fanya hivyo,usikurupuke kuacha kuishi na huyo mwanamke,panga mipango yako kwanza,
Good luck.
Inawezekana pia But mwisho wa hiyo Nyumba itakuaje huko mbeleni? I mean watoto wamesha kua wakubwa tayari au jamaa kaoa kwingine na Mwanamke akaolewa kwingine.Kwakuwa hawajaoana na hawana cheti cha ndoa.
Mahakama itawaamuru wagawane mali walizochuma pamoja kwasababu wameishi kwa pamoja.
Mtoa mada kasema wamejenga nyumba na wana biashara ya uwakala.
Means ni mali walizochuma wote ndan ya miaka 8. Na ndio zitagawanywa kwa wote wawili.
Kete nzur ya kucheza ni jamaa akatae nyumba isiuzwe ila ipangishwe na hela isaidie watoto.
Na Wote wawili watoke kwenye nyumba.
Watoto wabaki na Mama ili majukumu ya kulea yambane zaid mama.
Jamaa aanze maisha mapya.