Je, ikiwa Mrusi na Mchina wakiungana kijeshi kutaka kum-maliza Mmarekani kivita itachukuwa muda gani?

kwenye real time ipi patriot tumeziona SAUDIA dhidi ya houthi na IRAQ dhidi ya makombora ya IRAN yamekua yahovyo kabisa
S za RUSSIA umeziona kwemye Khemeim air base pale RUSSIA supr kabisa
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Putin anahatarisha uhai wake zaidi.
Anataka kuhitimisha zama zake vibaya..na nakuapia hawatamuacha aende kuzimu kwa amani...wameshamuona kuwa akili yake ina uchizi kwa kuhatarisha amani ya dunia
Dunia mnahatarisha ninyi sio PUTIN wala RUSSIA
 
It will nuclear.Tutapata kuona ufanisi wa mabomu ya kisasa ya nuclear
 
Propaganda za magharibi..hata siku moja huwezi kuona wanaonyesha wala kusifia silaha za urusi au China. Kama ana ubavu hivyo kwanini anajishikiza kwa NATO kwa kila vita anayoenda? Kwanini asitie maguu sasaiv huko Ukraine? Hamna kitu
Shida ya watanzania iko palepale siku zote yaani ni watu wa kukariri tu mambo, unajua kwamba USA ndio Nato au hulifahamu hilo.

Hata namna ilivyoanzishwa hiyo Nato hujui. Haya endelea kuleta stori za vijiweni.
 
Swali la msingi kabisa je vita hiyo itasaidia kuindoa CCM 2025?
 
mbona marekani hakuichukua iraq in a day? TENA IRAQ ILIKUWA PEKE YAKE BILA MSAADA WOWOTE WAKATI MAREKANI ALIKUWA NA MDOGO WAKE UINGEREZA?
Ilimchukua majuma matatu kuiteka Baghdad lakini sasa shida ni kwamba huyu mrussia wenu yeye alitamba kwamba sio zaidi ya siku tatu angemaliza kazi lakini sasa ameanza wiki ya nne.
 
Aiseee... Huyu angalau tunaweza tukapigana nae...

Ile ya uganda ilikuwa kionjo tu.
 
Umewahi kuona mtu akizidiwa ngumi ✊ anakimbilia panga basi ndio hofu ya Nato maanake Urusi kishataka kukimbilia nyuklia.🤣🤣🤣🤣
 
Umewahi kuona mtu akizidiwa ngumi ✊ anakimbilia panga basi ndio hofu ya Nato maanake Urusi kishataka kukimbilia nyuklia.🤣🤣🤣🤣
Kwamba urusi kazidiwa wakati anateka miji mipya kila uchwao
 
Shida ya watanzania iko palepale siku zote yaani ni watu wa kukariri tu mambo, unajua kwamba USA ndio Nato au hulifahamu hilo.

Hata namna ilivyoanzishwa hiyo Nato hujui. Haya endelea kuleta stori za vijiweni.
Najua sana Marekani ni NATO, swali ni kwamba kama yeye ni mbabe kwa nini asimkabili urusi peke yake. Kwanini mbona urusi anasimama mwenyewe bila kuwa block yoyote?
 
Najua sana Marekani ni NATO, swali ni kwamba kama yeye ni mbabe kwa nini asimkabili urusi peke yake. Kwanini mbona urusi anasimama mwenyewe bila kuwa block yoyote?
Hilo swali halina mantiki kwa sababu Marekani haijashirikiana na nchi yoyote kuivamia Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…