Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

hapo kwenye quote yake ondoa 'much' weka 'many'...
 
You are right 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 since then it is a long time now, mistakes are inevitable as human being.🤣
At least you tried.

Man is to err so don't be afraid to keep practicing.
 
Waalimu wangu walipata shida sana!! ni kweli kabisa hujakosea!! kwa kuwa nilikuwa najua! tena nilijua kuwa najua!..UPE ndo kabisaaaa!! ...so.ndo maana nikapaa shule maalum!! sasa nikikutana na vilaza humu inakuwa shida zaidi!!....

Sikia sasa Mtu makini hana Mapungufu!! wewe msikilizaji mpokea taarifa km mukazwa ndo una pamapungufu unasikia!!!...jiulize weye ujihoji mapungufu yako!!!..usiangalie mwingine

Usituhukumu wote kiivo!! hayo nayo ni mapungufu yako wewe!!!...nakufundisha bure ili siku nyingine usirudie.......kwa watu wenye akili nyingi kama mie.......Kama Mungu wako huyo asinge kuwa na Mapungufu kwa nini Shetani alimkimbia?

Tena mbaya zaidi theluthi tatu ya Malaika wote waliasi pamoja na shetani wakawa upande wa shetani mpaka leo? ...Mapungufu ni sifa za binadamu km wewe si wote!!...Duniani humu kuna vizazi vya aina mbili....Cha Nyoka kupitia cain... na Seth......

Kizazi cha nyoka always ni mapungufu tu!! ...tena maajabu wana jikubali kirahisi sana....sasa ume-m- categorize vepe Julius kambarage Nyerere kuwa ni kizazi cha nyoka mwenye asili ya Mapungufu???

Ok! Pamoja na Mungu wako kumsamehe bure satan!! shetani aliukataa msamaha huo na Mpaka leo hataki suruhu??? anaendelea kuwatesa wasiojua kweli yao km wewe? ? na weye anakutesa sana mpaka unajua kuwa mbinguni huendi?? na uko sawa!!

Kumbuka kuwa Mungu aliumba viumbe vyoooteeee!!...vyenye kiburi/matusi na visivyo na kiburi, vyenye kumjua na visivyo mjua!!....akazidi kudadavua kuwa ''Imani si mali ya kila mtu''!

Ila nawasifu wana wa Devil huwaga mna kili kabisaa kuwa mna Mapungufu na kweli manake tumeshuhudia humu jinsi kinywa chako kilivojaa mitusi! na uelewa hafifu! ...nakueleza haya ujue tofauti yangu na yako!!!
 
--there are so much dangerous things within the earth crust the less we know about them the better"--- kwasababu topic yenyewe ina involve the earth crust na earthquakes ilibidi darasa zima tuangue kicheko.🤣
Wajameni sasa!!! heee!! hapo kwenye hiyo statement simple tu!!...nini kilicho kuchekesha cha kufurahisha/na ajabu!! mweee!!!! ...ujue dogo mie nakusaidia ujue namna bora ya kufikiri!!..ni kwa faida yako tu.
 
walitoa shuleni walikosoma na ku-practice kuongea kiingereza. Wote degree zao wamesoma nje ya nchi tena iaka hiyo, achilia mbali na shule za msingi na sekondari zikuwa kiingereza tupu, hivyo kwao isingekuwa shida.
 
Soma novo
angalia move za kiinglsih................... hata hivyo umesoma shule gani kuanzia O to A level regardless UNI?
 
19 February 2022

Meet Fatma Karume - The woman whose office was bombed and she got fired from her job...


Her office was bombed, she was fired from her job, and her friend opposition leader Tundu Lissu survived an assassination attempt. This Sunday at 3p.m, on our YouTube Channel, we air the story of Fatma Karume, daughter to Zanzibar's former President Amani Karume
Source : Mwanzo TV
 
Graduates wengi wa Udsm kiingereza kwao ni majanga, kama uamini mtafuta Dr Joi ndalycherco uone atakavyokusononesha la lafudhi yake.
 
Zamani ilikuwa ni kawaida sana hata kwa mhitimu wa darasa la nne kuongea fluent ng’eng’e, makanjanja walio jificha kwa mwamvuli wa ‘lugha ya kiswahili’ ndoyo walio tupoteza na kuharibu kabisa msingi mzima wa elimu yetu!
 
15 March 2022

Exclusive with Dr. Abdallah Saleh Possi Ambassador of Tanzania to Germany


Source : News Central TV
 
2021

How A Tanzanian Built A Beautiful Resort On a Mountain!


Mr Baptista Filipatali who is a Tanzanian entrepreneur who has built one of the most beautiful resorts at a unique location which is on a Mountain in Iringa, Tanzania. He tells us about how he was able to build his business in Tanzania and some of the challenges he has faced on his entrepreneurial journey.

Source : Tayo Aina Films
 
2021
How He Built a Multi Million Dollar Business from Wood in Tanzania


Mr Elisha Edison who is a Tanzanian entrepreneur who has built a successful Wood Production Business in Tanzania from the ground up. He is also currently building one of the biggest Wood House Manufacturing Startups in Tanzania. He shares his story on how he was able to build this business in Africa and some of the challenges he has faced on his entrepreneurial journey.

Source : Tayo Aina Films
 
27 February 2022

"Crafting a 20 / 20 Vision " with Dr. Frannie Lèautier and Shalini Unnikrishnan


Africa and "Gentleman farmers", 4th Industrial Revolution, Artificial Intelligence etc

Dr. Frannie Léautier is an African finance and development expert, with long-standing global experience leading and transforming organizations in the private, public and not-for-profit spheres. Prior to joining TDB, she served as Senior Vice President at the African Development Bank, Vice President at the World Bank Group, and Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation. In addition to having founded two companies, Dr. Léautier is a board member, trustee, special advisor, and member of a number of international and regional organisations including the World Economic Forum, UN Foundation, Southbridge Group, OCP Group, Orca Explorations, African Risk Capacity (ARC), African Economic Research Consortium (AERC), and Institute for Security Studies (IIS). She previously served on the boards of the King Baudouin Foundation USA (KBFUS), Nelson Mandela Institute for Science and Technology (NM-AIST), and Uongozi Institute among others. Likewise, she is a well-recognised author and academic, having published numerous books, articles and papers in finance, economics and international development. Dr. Léautier has taught graduate-level courses at Sciences Po Paris, MIT, Harvard, Duke, and the University of Tokyo. Dr. Léautier holds a degree in Civil Engineering from Dar es Salaam University and a PhD in Infrastructure Systems from MIT. She also holds honorary doctorates in humane letters from North Central College and Laws from Lancaster University. Filmmaker: Josue Mpia Contact: smithlufoko@rocketmail.com

Source : Africa Business Conference at HBS
 
Kwa umri wako sasa hakutakuwa na improvement . sanasana kama unakijua japo cha kuvunjikavunjika kinatosha kwa kuwasiliana, ukitaka kinyooke japo kwa muda PIGA KILAJI
 
Kwa mkapa hata mwalimu hakutia mguu kwa ungenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…