FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sio wanawake wa CCMKwanini wanawake kwa wanawake hawapendani
Habari zenu wanajamvi, Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya ambao sio rasmi nimegundua kwamba wanawake kwa wanawake hawapendani tofauti na ilivyo kwa jinsia ya kiume. Wapo wanawake ambao hawapendi kuona wanawake wenzao wakiolewa na wanaume wenye maisha mazuri,wakipata mafanikio kama kupata...www.jamiiforums.com
Mimi ninachojua hawawezi kukubali mwanamke mwenzao awaongoze kwa kumpigia kura.., hiyo ni statistical reality.., roho inawauma sana kuongozwa na mwanamke mwenzao..Sio wanawake wa CCM
Hivi sababu ya Kuwa mgombea mwenza ilikuwa ni nini? Kipindi kile cha...Mimi ninachojua hawawezi kukubali mwanamke mwenzao awaongoze kwa kumpigia kura.., hiyo ni statistical reality.., roho inawauma sana kuongozwa na mwanamke mwenzao..
Alisema kweli haya? Siamini