OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #41
Mkuu kabla ya mgahawa uliwahi kufanya biashara yeyote? Je hio ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kufanya biashara ya mgahawa?Mimi Biashara ya Mgahawa imenichukua wiki moja tu kupata faida...sijaenda kwa mganga.
Mkuu kabla ya mgahawa uliwahi kufanya biashara yeyote? Je hio ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kufanya biashara ya mgahawa?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu kabla ya mgahawa uliwahi kufanya biashara yeyote? Je hio ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kufanya biashara ya mgahawa?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapa pazito ndio maana watu wanawahigi bagamoyo mapema tu 😂Yote 9 hapa "Ila ukitaka kufuata kanuni hii, uwe na uhakika hutafanya madhambi Mungu anayochukia, ukifanya tu unafirisika to zero. Trust me haswa uzinzi." Panachangamoto
Chief ulikuwa unauza dagaa gani hao wenye faida za chap?Maabara pia inanipa faida ila sijaiweka maana imenikosti pesa nyingi mno mpaka irudi hela yote ndo nitaanza kuhesabu faida..
Sabuni za Maji siwezi fanya hiyo biashara tena maana nilisulubika kishenzi...wateja watochi mpaka nikawa nawafosi wakope.
Dagaa nilianza kama mzaha ila nilifanikiwa baada ya miezi miwili japo pia nilikua nachomeka na jua kufuatilia mzunguko..faida ilinifanya nikanunua pikipiki nikampa mtu(nilijuta) nikauza.
Mkuu unamaanisha maabara uliiendesha kwa hasara kwa muda mrefu now ndio inakulipa?Maabara pia inanipa faida ila sijaiweka maana imenikosti pesa nyingi mno mpaka irudi hela yote ndo nitaanza kuhesabu faida..
Sabuni za Maji siwezi fanya hiyo biashara tena maana nilisulubika kishenzi...wateja watochi mpaka nikawa nawafosi wakope.
Dagaa nilianza kama mzaha ila nilifanikiwa baada ya miezi miwili japo pia nilikua nachomeka na jua kufuatilia mzunguko..faida ilinifanya nikanunua pikipiki nikampa mtu(nilijuta) nikauza.
Kwahiyo mkuu uliuza for two months bila faida ndio ukaanza kuyaona matundaNdio niliuza sabuni baadae nikaanza uza dagaa(hawa ndo walinifanya nirpnde biashara nilipata faida baada ya two month)
Usemi uongo ndugu yanguMimi sikupenda kuchagua upande wa ushirikina, nikaamua kujiunga na vikundi vya maombezi, huwezi amini niliingia kwa hasira sana,maana nilishapata hasara sana.
Nilifunga mfungo wa masaa 12 kwa siku 30, kuna siku wakati nipo kwenye mfungo,nikaota usiku ninapambana na jitu la miraba mi4, mimi naomba na yeye anaomba kwa ishara kwa kuninyooshea mikono, baadae nikalidondosha chini, nikashtuka ndotoni. After one week ,biashara zikaanza kunyooka. Hii dunia ni zaidi ujuavyo.
Ila ukitaka kufuata kanuni hii, uwe na uhakika hutafanya madhambi Mungu anayochukia, ukifanya tu unafirisika to zero. Trust me haswa uzinzi.
Walokole wengi ni maskini sababu kubwa wanataka kufanikiwa kibiashara kupitia Mungu lakini wanafanya dhambi nyingi sirini.
Samahani ndugu, kwa kusema kuwa na roho ya paka, unamaanisha nini?1. Miaka 2-3 ya mwanzo ni migumu mno. Bila roho ya paka, utaacha biashara,ila ukivumilia utaanza kuiona faida.
2. Lazima uchague kuwa mtu wa Mungu kweli au uwe mshirikina, bila hivyo hutoboi.
3. Lazima uwe na usimamizi Mzuri au ujenge strong team
4. Nidhamu ni muhimu sana
Ukijitahidi kufuata hizo rules utatoboa
Chief ulikuwa unauza dagaa gani hao wenye faida za chap?
Mkuu unamaanisha maabara uliiendesha kwa hasara kwa muda mrefu now ndio inakulipa?
Vipi changamoto ya kodi ya fremu au lengo haikukupa mawazo.? Maana Fremu zilizokwenye mzunguko mkubwa wa watu zina bei kubwa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu unamaanisha maabara uliiendesha kwa hasara kwa muda mrefu now ndio inakulipa?
Vipi changamoto ya kodi ya fremu au lengo haikukupa mawazo.? Maana Fremu zilizokwenye mzunguko mkubwa wa watu zina bei kubwa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mkuu uliuza for two months bila faida ndio ukaanza kuyaona matunda
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sababu umeona neno breakeven[emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu unafanya Fx nn, naona mambo ya breakeven[emoji1][emoji1]
Hawa. Dagaa sifa yao kubwa ni ipi, ni wale ambao tunaambiwa hawana mchanga?Dagaa Nyasa ila nilikua nikishachukua mimi nawasambaza kwenye magenge nawaachia baada ya wiki au wiki mbili nafuata pesa zangu,,,changamoto ilikua dagaa ni wa msimu.
Hawa. Dagaa sifa yao kubwa ni ipi, ni wale ambao tunaambiwa hawana mchanga?
Wenye magenge ulikua unawalipaje? Maana wao si wanakua na wale dagaa wa kawaida
Ulikua unanunua wapi na wanauza kwa kilo/ gunia tsh ngapi?Ndio hao hao hawana mchanga na wakikauka unaweza tafuna bila kupika(ila si vizuri minyoo na bakteria utakula).
Nilikua nauza kilo elfu 6-7 kutegemea na soko kisha nawapelkea wenye magenge labda kilo 5-10 kila genge wao wanauza kwa mafungu wakiisha kila kilo moja anaweza toa elfu 9-10 hivyo nikienda ananipa pesa yangu tu ambayo elfu 6 au 7 kutegemea na makubaliano.
Changamoto ilikua kuna muda napata hasara wakiingia maji halafu akashau kuwaanika unashindwa kumdai maana utaharibu mahusiano ya kibiashara,changamoto nyingine kuna maeneo ilichukua muda wao kuwakubali na nyingine ni dagaa wa msimu na nyingine ilikua kutembea na jua kali kusambaza na kufuata pesa.
Ulikua unanunua wapi na wanauza kwa kilo/ gunia tsh ngapi?
Nukta nambari moja idumu: miaka 2-3 ya kwanza ni migumu mno!1. Miaka 2-3 ya mwanzo ni migumu mno. Bila roho ya paka, utaacha biashara,ila ukivumilia utaanza kuiona faida.
2. Lazima uchague kuwa mtu wa Mungu kweli au uwe mshirikina, bila hivyo hutoboi.
3. Lazima uwe na usimamizi Mzuri au ujenge strong team
4. Nidhamu ni muhimu sana
Ukijitahidi kufuata hizo rules utatoboa