Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

Hebu twende mbele turudi nyuma kweli unaweza kuishi miaka mitatu au miwili bila kuzini ili tu ufanikiwe kwenye biashara au mimi ndio sijui maana ya kuzini?
 
Asante sana mzee baba. Mafanikio ya kwenye biashara yyt yapo kwny hizo point ulizozieleza
 
Ukitaka kufanikiwa kibiashara ni ama uwe mshirikina au umche Mungu, kauli hii aliniambia ndugu yangu mwaka 2017 nilipoenda kufanya biashara X mkoa wa Iringa. Asee kwa yaliyotokea nimeamini jamaa alikua sahihi sana 100%
 

Mtume Paulo anatuasa kuwa tuiogope sana dhambi ya uzinzi mana ni dhambi pekee inayo fanyika ndani ya miili yetu.
 
Hiyo biashara ni nzuri sana ukiwa mjanja na kama hyo proffesion ni yako mkuu.
 
Yes, indeed...
 
Naomba kuuliza Google, HP, Macdonald's, kFC , Facebook, Apple, na makampuni mengi wana ushirikina au ulokole??
Mafanikio ya kibiashara yanabeba siri nzito sana.
 
Nimetumia 984K

Japo pesa imekua kubwa kutokana naukarabati ambao imenigharimu 320k
Mkuu kumbe kuanzisha mgahawa sio kazi ngumu

Maana mimi nilifikiria gharama za kodi ya pango, vyombo, jiko la mkaa + gesi, viti, meza, na mpishi lazima milioni mbili ikutoke,

Wewe uliwezaje kufanya yote hayo plus ukarabati kwa gharama ya 980k

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yote 9 hapa "Ila ukitaka kufuata kanuni hii, uwe na uhakika hutafanya madhambi Mungu anayochukia, ukifanya tu unafirisika to zero. Trust me haswa uzinzi." Panachangamoto
una vijisenti halafu watoto wakali wanapita pita uwaangalie tu km zombi,sasa hizo pesa za nini.....
 
Mkuu hakuna ugumu na gharama inategemea na eneo.

[emoji117]Mimi kodi nimelipa 150k ni kodi ya miezi mitatu mbele ya ile fremu kuna eneo kubwa tu(hili eneo ndo lililokula pesa ya ukarabati vinginevyo ingekua chini ya hapo).
[emoji117]Meza plastic kampuni ya jambo meza 2 kila moja nilinunua elfu 37.
[emoji117]Viti vya plastic 8 kila kimoja nilinunua elfu 14
[emoji117]Sufuria ,sahani,vijiko,vikombe,bakuli nk nilitumia laki 1(hapa baadhi ya vitu nilichukua nyumbani)
[emoji117]Plate ya jiko la gesi nilinunua kwa mtu kwa elfu 30 na mtungi nilichukua wa nyumbani.
[emoji117]Jiko kubwa la chuma(yale yanatengenezwa kwa rim) rim nilichukua kwa bro fundi nilimpa elfu 20(fundi ni baba wa rafiki yangu)
[emoji117]Jiko la mkaa madogo mawili(nilichukua home)
[emoji117]Feni ndogo 1 ya elfu 45
[emoji117]Ukarabati(rangi,tofali,cement,mchanga na ufundi) laki 320
[emoji117]Mahitaji ya misosi(mafuta,mkaa,mchele nk) laki 130+

Nb:Siku 6 za Mwanzo nilifanya biashara ya kanisa nilipata hasara kubwa[emoji16][emoji16][emoji16]..nikifika home nitakupigia picha kitabu cha mahesabu.

Vitu nilivyoongeza Jana Meza 1 na viti vinne.lakini Pia mkuu kama ningetaka makubwa zaidi ingekua hela zaidi ya hiyo ila mimi nilitenga laki 5 nikajikuta nimetumia milioni kasoro elfu 16 hivyo hela inaweza kuongeza kutokana na upatikanaji wa vitu na mazingiro uliyopo.
 
2. Lazima uchague kuwa mtu wa Mungu kweli au uwe mshirikina, bila hivyo hutoboi.
hapa ndio pa muhimu kuliko point zote, either umche Mungu na umtangulize katika biashara zako au uchague kufanya biashara kishirikina, ukichanganya hizo means mbili hutoboi NG'OO.
 
Hongera chief, uchanganuzi umeshiba.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hamna kitu kinauma kama kufanya biashara ya kanisa,
Mbaya zaidi ndio uwe unaitegemea ikurishe, ikuvishe, ikuripie kodi n.k

Mimi binafsi nakupongeza, ninaplan ya kufungua kibanda cha chipsi faida nitakayo kuwa napata ndio nitaitumia kujikimu ili hii biashara kubwa ninayoifanya nisiivuruge

NB: Nafungua banda la chipsi kwa mtaji wa laki tano (sina hata kijiko)

Je unaushauri wowote?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…