Mkuu unataka kufanya biashara hii kwa mapenzi toka ndani au unataka kufanya sababu jamaa kakwambia alitoboa fasta ?
Hii nimeilewa sana[emoji848][emoji8]Mimi sikupenda kuchagua upande wa ushirikina, nikaamua kujiunga na vikundi vya maombezi, huwezi amini niliingia kwa hasira sana,maana nilishapata hasara sana.
Nilifunga mfungo wa masaa 12 kwa siku 30, kuna siku wakati nipo kwenye mfungo,nikaota usiku ninapambana na jitu la miraba mi4, mimi naomba na yeye anaomba kwa ishara kwa kuninyooshea mikono, baadae nikalidondosha chini, nikashtuka ndotoni. After one week ,biashara zikaanza kunyooka. Hii dunia ni zaidi ujuavyo.
Ila ukitaka kufuata kanuni hii, uwe na uhakika hutafanya madhambi Mungu anayochukia, ukifanya tu unafirisika to zero. Trust me haswa uzinzi.
Walokole wengi ni maskini sababu kubwa wanataka kufanikiwa kibiashara kupitia Mungu lakini wanafanya dhambi nyingi sirini.
Kwanini M/ Mungu anachukua sana uzinzi? Kuliko dhambi nyingine?Ukitaka kufanikiwa kwa njia za ki-Mungu ufuate kanuni zifuatazo.
1.uanze kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, kwa nje na sirini
2.kosea vyote ila usizini.ukikosea mengine ukaomba toba,Mungu atakusamehe na biashara itaendelea.
Ila ukizini lazima ufirisike kwanza,uaibike na ndio adhabu yako.
Ndio uje uanze mwanzo tena
3.Usiibe hela au kumdhulumu mtu Mali yake au kuiibia serikali then uje uanze biashara ukategemea Mungu ataibariki,NEVER
3.
Dhambi nyingine mwanadamu azitendazo ni nje ya mwili wakeKwanini M/ Mungu anachukua sana uzinzi? Kuliko dhambi nyingine?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sante dear,Dhambi nyingine mwanadamu azitendazo ni nje ya mwili wake
Lakini afanyaye zinaa hutenda juu ya mwili wake mwenyewe.
Mwili ni hakalu la Roho mtakatifu.
Sijui hata nielezaje.Sante dear,
Lkn pia mbona ukinywa bia nayo unazingua mwilini?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapa nimekuelewa vizuri sanaSijui hata nielezaje.
Dhambi zote ni chukizo kwa Mungu kwa sababu Aliyesema "Usizini" ndiye huyo alisema "Usiibe"
Dhambi nyingine hufanyika nje ya mwili lakini zinaa i juu ya mwili..inahusisha mwili (ndani) na madhara ya zinaa si rahisi kuyakwepa kama ambavyo unaweza yaepuka madhara mengine ya dhambi.
Kwahiyo inasameheka lakini madhara yake Mara nyingi huwa hayaepukiki.
Zinaa inahusisha muunganiko wa wa miili baina ya wanaoifanya..
Gharama yake ni kubwa sana..ni tofauti na ulevi ambao asubuhi unaamka unakojoa mkojo pombe ishaisha.
Siyo kile kimuingiacho mtu kinamtia unajisi,bali kile kimtokacho.
Uzinzi ndio njia rahisi ya kuingiza maagano yatakayofanikisha kutokufikisha Kaanani yako. Kumbuka wakati wana wa Israel walipokuwa jangwani mfalme alimwita mganga (Hesabu sura ya 23 hadi 25 nafikiri) awalaani wana wa Israel zilijengwa madhabahu saba kwa ajili ya kuwalaani moja baada ya nyingine lakini ikashindikana kuwalaani.Ahsante sana mkuu,Nimekuelewa vzr sana
Ila ni kwa nini dhambi ya kuzinzi ikawa na nguvu sana? Kuliko nyingine...
Kwa sababu tunaona hata Yusufu alikataa zigo la mke wa Kigogo wa serikali ya Misri (Potifa). Mungu akambariki Yusufu mpaka akawa waziri mkuu
Hii dhambi kwenye ulimwengu wa Roho inanguvu gani?
au ni kwa sabbu ya transmition kati ya Ke na Me????
Uzinzi ndio njia rahisi ya kuingiza maagano yatakayofanikisha kutokufikisha Kaanani yako. Kumbuka wakati wana wa Israel walipokuwa jangwani mfalme alimwita mganga (Hesabu sura ya 23 hadi 25 nafikiri) awalaani wana wa Israel zilijengwa madhabahu saba kwa ajili ya kuwalaani moja baada ya nyingine lakini ikashindikana kuwalaani.
wakaona ujinga huu, wakapeleka mabinti kutoka kwenye hekalu lao, vitu konki kweli kweli wanaume wa Israel ngoma ikawashinda laana zote zilizoshindwa na madhabahu saba wakazipata kupitia ngono hakuna mwanaume hata mmoja aliyetoka Misri aliyeingia Kaanani ispokuwa Kalebu na Yoshua tu.
Ukifuatilia sadaka za kishetani moja wapo ni ngono na wanawake tofauti tofauti lengo ni kuhamisha vitu vyako ulivyowekewa kutoka kwa mwanaume kuvikabidhi kwenye ufalme wa giza wavimiliki.
Shetani vitu anavyomiliki ni kwa kuhamisha kutoka kwa mateka wake, jeshi zuri na rahisi ni la kutumia ngono.
Inategema na investment iliyowekwa mkuu, biashara zingine ndo zile tunaziweka kwny kundi la long-term investment.Miaka 2 ~ 3 years mbona ni mingi sana mkuu, kupata faida mtu japo upambane angalau mwaka mmoja
Mkuu unachosema ni kweli, but naona kama unai-overate sn hyo point yako mkuu!Mafanikio ya kibiashara yanabeba siri nzito sana.
Duuuuh Nami nitasema jambo Baadaye ila wengi walio fanikiwa hata smart phone hawana sasa sijui ushaidi tutaupata wapi? Ila uzinzi unagharimu sana career za watu. Mungu aingilie kati. Mie nafanya Biashara since 2015 na bado sijatoboa sijui ndio uzinzi au n
Inategemea ni biashara gani; kama ni biashara ya kununua bidhaa na kuziuza, inategemea pia ni biashara ya bidhaa gani na ni mtaji gani uliowekeza. Kama ni biashara ya utaalamu, kama mwanasheria, mhandisi, mthamini wa majengo, msanifu wa majengo, daktari, au mhasibu wa kujitegemea inaweza kukuchukua mpaka miaka miwili hivi katika mazingira ya halali, ila unaweza kutoboa haraka sana ukiwa katika mazingira ya mishen town nyingi na kunapokuwa hakuna ushindani wa kutosha.Habari wakuu!
Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa.
Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la kueendeshea biashara), matumizi (kodi ya fremu, umeme, ulinzi, usafirishaji n.k) pia kuna faida (Mauzo - mtaji)
Je, ilikuchukua muda gani kuanza kupata faida ktk biashara yako?
Je, ulianzaje anzaje mpaka ukafikia hapo ulipo?
Hilo linawezekana ukiisoma vizuri operation model yako/business model yako. Cha msingi angalia namna utafikisha chakula Kwa mteja Kwa gharama nafuu, hakuna ufahari kufanya biashara Kwa gharama kubwa Kaka.Mkuu kumbe kuanzisha mgahawa sio kazi ngumu
Maana mimi nilifikiria gharama za kodi ya pango, vyombo, jiko la mkaa + gesi, viti, meza, na mpishi lazima milioni mbili ikutoke,
Wewe uliwezaje kufanya yote hayo plus ukarabati kwa gharama ya 980k
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu umenichekesha sana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuuh Nami nitasema jambo Baadaye ila wengi walio fanikiwa hata smart phone hawana sasa sijui ushaidi tutaupata wapi? Ila uzinzi unagharimu sana career za watu. Mungu aingilie kati. Mie nafanya Biashara since 2015 na bado sijatoboa sijui ndio uzinzi au nini?. Papuchi huwa nazichakata sana