Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

Tupangieni tuwajue...watoto wa sitti na huyu bi mdogo....jumla wako 12

na wote wanahudumiwa na watahudumiwa na serikali na wake zao mpaka kufa, na wanaoa wake wawili wawili mmoja mmanga mwingine mweusi wote kwa gharama ya serikali …
 
JK nae anawatoto wengi sana tofauti tofauti ; aliweke vema while he is energetic

Na sisi vijana pia tunaochovya huku na huku tuliweke mapema hili

Kama ingekuwa sio mambo ya
Imani za watu ; I totally discourage mambo ya wake 2 au 3 au 4 . Familia za namna hii huwa hazinaga stability kabisa

Zinakuwaga na vuruga sana kama zile za mengi. Mengi alipozaa tu na yule mtusi kaleta balaaa kubwa

Familia inakuwa bora sana hata mkiwa na mali endapo baba na mama na watoto ni chain
Moja
 
Kama ingekuwa sio mambo ya
Imani za watu ; I totally discourage mambo ya wake 2 au 3 au 4 . Familia za namna hii huwa hazinaga stability kabisa [emoji419][emoji375]
 
Tupangieni tuwajue...watoto wa sitti na huyu bi mdogo....jumla wako 12
Wako pia Watoto wa Mke wa awali aliefariki miaka mingi iliyopita, mmoja wa watoto hao aliitwa Hassan na alifariki nadhan mwaka mmoja uliopita

Familia kugombana ni mambo ya kawaida , cha msingi ni kutovuka mipaka na wakisuluhishwa wasuluhishike

Hata Hayati Edward Sokoine alikuwa na Wake wawili ana wameishi vyema miaka yote hiyo na rabsha za hapa na pale zinarekebishwa
 
Mzee Mwinyi alioa machotara wote, Hadi Binti yake mkubwa wajomba zake wapo Dubai
Tafuta pesa ili nawe ukifa uitwe Hayati, mambo ya Marehemu fulani waachie wapiga kura wako

Hao Machotara wanaangalia salio, huoni Mzee na urefu wote ule alibeba kazi za maana?

Siti na miaka yake 90 yuko vile, alivyokuwa na miaka 30 alikuaje ?

Yule Bi Khadija nmeona picha yake ya miaka ya 70 akiwa Ubalozini Egypt, Hatare tupu Sheikh
Kijana wa Kivule alikuwa anajua ku point
 
Familia kugombana ni mambo ya kawaida , cha msingi ni kutovuka mipaka na wakisuluhishwa wasuluhishike [emoji419][emoji375]
 
Yule Bi Khadija nmeona picha yake ya miaka ya 70 akiwa Ubalozini Egypt, Hatare tupu Sheikh
Kijana wa Kivule alikuwa anajua ku point[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mie nilikuwa sijui kama kuna migogoro, nadhani kuna haja ya waandika hotuba za rais kuwa makini katika uandaaji wa hotuba za rais.
Wengine wanaandikiwa hotuba vizuri kabisa... unashangaa keshahama anachomekea maneno yake...

Ilipata kulalamikiwa kuwa Mzee wa Msoga alikuwa na hii mambo....

Unakuta keshahama siku nyingi anatandika mambo yake... kwenye hotuba hakimo...[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna maneno hayasemwi kwa bahati mbaya. Hizi familia zetu zinajengwa jengwa tu kama vile tutaishi milele. Tukifa, nyingine zina tabia ya kufa hivyo hivyo. Mifano ipo mingi. Unafiki ni tabia yetu binadamu
 
Vijana wakileta jeuri wanatashughulikiwa kuanzia uongozi wao wote ni tamko tu wanaanza kuishi kama yule mtoto wa kwanza wa Nyerere ...

Kawatahadharisha tu..
 
Ametoa kauli hiyo kama kuwaasa tu na kuwakumbusha
Rais Hussein Mwinyi amewashukuru Watanzania wote kwa namna walivyoshiriki kumuuguza na hatimaye kumzika baba yao

Shukrani za kipekee amezipeleka kwa Rais Samia na amemuahidi kuisimamia vema familia kwani akiwa mzima Mzee Mwinyi aliwaita watoto wake wote na kuwaambia Dr Hussein Ndiye atakuwa Msimamizi wa Familia yeye atakapofariki

Hayo ameyasema kwenye Hitma ya hayati Mwinyi iliyoandaliwa na Rais Samia leo mjini Unguja

Source: Global Tv
 
Kuna maneno hayasemwi kwa bahati mbaya. Hizi familia zetu zinajengwa jengwa tu kama vile tutaishi milele. Tukifa, nyingine zina tabia ya kufa hivyo hivyo. Mifano ipo mingi. Unafiki ni tabia yetu binadamu
Rais Hussein Mwinyi amewashukuru Watanzania wote kwa namna walivyoshiriki kumuuguza na hatimaye kumzika baba yao

Shukrani za kipekee amezipeleka kwa Rais Samia na amemuahidi kuisimamia vema familia kwani akiwa mzima Mzee Mwinyi aliwaita watoto wake wote na kuwaambia Dr Hussein Ndiye atakuwa Msimamizi wa Familia yeye atakapofariki

Hayo ameyasema kwenye Hitma ya hayati Mwinyi iliyoandaliwa na Rais Samia leo mjini Unguja

Source: Global Tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…