Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

Mi nimekaa na waislam sana. Na pamoja na kuwa na wake wanne ni wazinzi wazur sana. Hizo ndoa hazijawaondolea tabia zao
Hapo waislam wamekujaje, mbona unauonyesha uwezo wako Mdogo wa kujadili kilichopo?Na haiwezekani waislam wawe wazinzi Sana kuliko makafir.
uache uzushi wa Paulo
Rubbish!
 
alikuwa sahihi kabisa
 
Hapo waislam wamekujaje, mbona unauonyesha uwezo wako Mdogo wa kujadili kilichopo?Na haiwezekani waislam wawe wazinzi Sana kuliko makafir.
uache uzushi wa Paulo
Rubbish!
Sio waislam tu fuatilia hata watu waliooa wake wengi wasio na Dini utakuta ndio wanaoongoza kwa uzinz. Ni kama vile ukifuatilia mtu aliyeoa mwanamke mrembo sana utagundua ni mzinz maana kama macho yake yaliweza kuuona huo urembo basi yanauwezo ya kuona urembo zaid.
 
Sasa hayo unayoongea yanahusiana vp na mada iliyopo mezani?
wakati mwingine jaribu kuficha upumbavu wako au Kama mada ipo juu ya upeo wako jitahidi upite mbali.
 
Kuoa wake wengi hakupunguz uzinz wewe umesahau ulichoandika. Unataka na Mimi nikuite mjinga
 
Ulitakaje?
 
Kwanza kabla sijachangia chochote ningependa kujua kama wajane wa raisi stahiki zao zikoje kutoka serikalini? Tumezoea mjane mmoja je hawa wawili stahiki zao zikoje? Nusu kwa nusu au mke wa pili serikali haimtambui kwenye stahiki zake?
 
Mmm Magufuli kwenye Msiba wa Komba?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabla sijachangia chochote ningependa kujua kama wajane wa raisi stahiki zao zikoje kutoka serikalini? Tumezoea mjane mmoja je hawa wawili stahiki zao zikoje? Nusu kwa nusu au mke wa pili serikali haimtambui kwenye stahiki zake?
Wanahudumiwa wote kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…