Je, in reality dunia hii ipo? Au ipo kichwani kwangu tu?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,945
Reaction score
4,827
Je wanajukwaa dunia hii ipo au ipo kichwani kwangu tu

Ile unatoka asubuhi unaenda mishemishe unarudi jioni home, baada ya kupoa kidogo unaelekea mahali fulani kama kamgahawa unaagiza gahawa, Una watch movies utulivu ukiwa ni mwingi sana,

u go somewhere u connect with positive people, u make stories u laugh, u make plans hatimae siku imeisha u go back home
Je dunia hii ipo?

One day u make trip with friends, u make a lot of memories there, a lot of positive vibrations
Je dunia hii ipo au ni fikra zangu tu

All in all just happened in my today thoughts
 
Kuna namna ubongo wetu huwa unachukua taarifa kutoka nje kupitia milango ya fahamu kisha unazitafsiri ndani ya kichwa chako. Kwa hiyo, naweza kusema experience ya dunia ipo kichwani kwako, lakini source ya hizo taarifa ndio iko nje, maana yake nini? Bila dunia ya nje, ubongo wako ungekuwa hauna kabisa cha kutafsiri.
 
Ipo.. Mbona hii kawaida sana, hata mimi naiiishi
 
Kuna namna ubongo wetu huwa unachukua taarifa kutoka nje kupitia milango ya fahamu kisha unazitafsiri ndani ya kichwa chako. Kwa hiyo, naweza kusema experience ya dunia ipo kichwani kwako, lakini source ya hizo taarifa ndio iko nje, maana yake nini? Bila dunia ya nje, ubongo wako ungekuwa hauna kabisa cha kutafsiri.
Sawa
 
Back
Top Bottom