Fanya kibinafsi sio lazima uangalie wengineSioni mazingira yetu yakiruhusu hivyo
Kiwango chako cha Mshiko Fasta ni TZS 3,531,700. Chukua mkopo muda wowote, na kamilisha miamala ukiwa hauna salio. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Bado tunajitafuta mkuuNa mimi nimepata message kama hii ila kwa kiwango hiki, unastahili hongera Mkuu.
Itabidi unipe darasa la siasa, huko kuna neema na sisi tujitafute huko.Bado tunajitafuta mkuu
Ipo.. Mbona hii kawaida sana, hata mimi naiiishiJe wanajukwaa dunia hii ipo au ipo kichwani kwangu tu
Ile unatoka asubuhi unaenda mishemishe unarudi jioni home, baada ya kupoa kidogo unaelekea mahali fulani kama kamgahawa unaagiza gahawa, Una watch movies utulivu ukiwa ni mwingi sana,
u go somewhere u connect with positive people, u make stories u laugh, u make plans hatimae siku imeisha u go back home
Je dunia hii ipo?
One day u make trip with friends, u make a lot of memories there, a lot of positive vibrations
Je dunia hii ipo au ni fikra zangu tu
All in all just happened in my today thoughts
Mimi sio mwanasiasa mkuuItabidi unipe darasa la siasa, huko kuna neema na sisi tujitafute huko.
SawaKuna namna ubongo wetu huwa unachukua taarifa kutoka nje kupitia milango ya fahamu kisha unazitafsiri ndani ya kichwa chako. Kwa hiyo, naweza kusema experience ya dunia ipo kichwani kwako, lakini source ya hizo taarifa ndio iko nje, maana yake nini? Bila dunia ya nje, ubongo wako ungekuwa hauna kabisa cha kutafsiri.