Je, inachukua muda gani kuona dalili za maambukizi ya HIV?

Je, inachukua muda gani kuona dalili za maambukizi ya HIV?

H
jamani virus au blood enye virus inakuwa kwenye hewa for how long ndio iwe weak,because kuna mzee kumbe anakuaga muathirika humu gari lake limebiringika mtaaani tu sasa katika kumtoa ndani damu yake ikanirukia jichoni na kwenye boil mguuni yaani sielewi niko hosy halafu shida ni ile nurses wananchanganya mimi wengine wanataka nipewe dawa wengine wanasema nisipewe nipeeni ushauri nipo kwenye kuchanganyikiwa🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Hao nurses wanabishania uhai wako...pewa dawa kwani ukipewa dawa ukawa hujawa infected ina madhara kwako?
 
Ndugu zangu wa jf nilipendaa kuuliza ya kuwa vipimo ya kawaida vya hospitali HIV TEST vinapima ukimwi ata kwa mwezi mmoja toka ulipoo fanya tendo hilo
 
Back
Top Bottom