Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
- Thread starter
- #21
H
Hao nurses wanabishania uhai wako...pewa dawa kwani ukipewa dawa ukawa hujawa infected ina madhara kwako?jamani virus au blood enye virus inakuwa kwenye hewa for how long ndio iwe weak,because kuna mzee kumbe anakuaga muathirika humu gari lake limebiringika mtaaani tu sasa katika kumtoa ndani damu yake ikanirukia jichoni na kwenye boil mguuni yaani sielewi niko hosy halafu shida ni ile nurses wananchanganya mimi wengine wanataka nipewe dawa wengine wanasema nisipewe nipeeni ushauri nipo kwenye kuchanganyikiwa🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁