mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
aah wengi lazma waende nje bila shaka hata kimwana wako hua wanamloweka sasa mmh
ukijua anajua maisha kashacheza haisumbui tena hao ndo wanatulia haswa maana wanajua nini ni nini. Mie sijaoa bado.