Je Inapendeza kuoa binti uliyemtoa bikira..

aah wengi lazma waende nje bila shaka hata kimwana wako hua wanamloweka sasa mmh

ukijua anajua maisha kashacheza haisumbui tena hao ndo wanatulia haswa maana wanajua nini ni nini. Mie sijaoa bado.
 
Malengo yako yalikuwa nini? si uoe? ila kama una options here we go:-

Mwache atest varieties! aone zingine zikoje akirudi kwako whether kwa sababu wewe ni kijogoo or not mkioana siku akizidiwa akatoka nje atarudi! lakini ukimuoa ajatest siku akateleza nje akajua kuna za tofauti umempoteza. .lol. ofcourse sababu umetoa options :juggle:
 

una maana "maji yameshamwagika hayazoleki" kwa hyo ntafute "virgin"ingine niilinde hadi ndoa..sasa si ntakufa na maradhi.
 

unatumia kifungu gan cha katiba kunihukumu hivyo,na sina maana huyo ni wa kwanza bali nataka kujua hatma yangu mi na yeye..
 
kwa mtindo huo atamaliza vidume wote na asiridhike vile vile.
 


fazaa hapo kwenye red nakuunga mkono kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…