shamariwa chool
JF-Expert Member
- Dec 14, 2024
- 265
- 248
Sa
Sawa baltazarmchumba tu wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa baltazarmchumba tu wewe
Hili ni andiko ndani ua waraka wa mtume pauko kwa kanisa la waebrania,(tayari kulikuwa kumeumdwa kanisa). Swali^wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine^ (Waebrania 10:23-25).
Mkuu, kwa sababu umeinukuu Biblia, ukibaki na andiko hilo moja la Yakobo huku ukipuuza maandiko mengine mengi kuhusu kanisa, unakuwa hujaitendea haki Biblia kabisa.
Na hivi ndio inavyokuwa badala mtu autafute ukweli anakimbilia atheism, huko nako unaenda kukutana na misimamo ambayo utalazimika uifuate na kuisimamia. Kwenye atheism si kwamba utapata ukweli ambao unautafuta bali huko utaambiwa tu uache kuamini, ndio suluhisho la kutosumbua akili. Utakuta orodha ya vitu ambavyo hutakiwi kuviamini kisa tu hakuna maelezo ya kisayansi.Aaaah nadhani ni bora kugeukia ATHEISM...
Maana kama Mungu anaruhusu watu waovu (kwa maoni yangu) wanaolawiti watoto, waroho wa madaraka, wazinzi, waongo, wasiojali kuongoza makanisa naona ntashndwa kua mwabudu...
yote kwa yote Hivi Mungu ni wa dini gani? naomba msaada..
nisome vizuri mimi sijibu hoja ya mtoa mada namjibu mchangiajiHujajibu swali la mjumbe mkuu
Swali kuna uwezekano wa kumwabudu mungu pasipo kuhusisha dini?? ?
Watu wanahitaji ukweli na sio kutokuamini Mungu tu, huko kutoamini Mungu ni sehemu ya uchaguzi tu na ndio maana tunaona wasioamini Mungu nao w wanatoka huko na kuwa waamini Mungu, sasa ingekuwa kutoamini Mungu ndio ukweli wenyewe basi tusingeona wapinga uwepo wa Mungu kuacha huo msimamo.Kudos. Watu mnaamka sasa.
Religion must go!
Huitaji kumuamini wala kumwabudu Mungu.
Unahitaji kujiamini wewe mwenyewe.
Muhimu kusema ukweli kuwa huo ni mtazamo wa atheists ila wengine wana mitazamo tofauti kama Agnostics. Tatizo wewe unataka ionekane madai ya kwamba hakuna Mungu ndio ukweli na si mtazamo tu wa watu.The fact an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
Wala hata huitaji kusoma sana kujua kwamba hakuna Mungu.
Ila siku zote mkuu hakuna kitu ambacho huwezi kutia kasoro au kukosoa.🤣🤣🤣
Sindio ktk dini ya kiislam unaambiwa Mwanaume Anapaswa haswaa kusali msikitini !! !? Akisali msikitini Mema yake Yana double value Kwa Mungu , kumbe ni strategy ya kuwafanya wanao Sali msikitini iweze kuwa rahisi kupatikana Kwa wingi ili waweze kusupport movement za kugharamia shughuli za kidini mfano msikiti unahitaji kulipiwa maji umeme etc mfano wakisema kila mtu Asali home kwake huo msikiti utajiendesha Vipi !!!? So Wanashindwa kuweka wazi Hilo wanatumia Maneno Mazuri kulainisha mioyo ya waumini ili waweze kufanikisha goals zao
🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna Hiyo sasa ktk mafundisho Yao ya kiimani wana ambiwa ukienda kuhij Makkah ikitokea ukafa huko huko au ukafa ndani ya ndege wakati upo njiani kwenda huko basi wewe Moja Kwa Moja peponi 🙌🙌🤣
Yaani mtu anashindwa kuelewa kuwa huo ni mpango mkakati wa kufanyia promotion Hiyo culture ili Wanao amini ktk Hiyo Imani wapate kuipa nafasi zaidi ktk Maisha Yao so unakuta people zina amini kabisa
Kwa kweli dini kitu cha hovyo Sana NI scamm
Unaelewa maana ya ubatizo? Muumini anabatizwa katika Kristu (baptized into Christ) - His body, His church; ^you are the body of Christ and individual members of it.^ 1Cor 12:13, 27Hili ni andiko ndani ua waraka wa mtume pauko kwa kanisa la waebrania,(tayari kulikuwa kumeumdwa kanisa). Swali
Je kuna uwezekano wa kumwabudu mungu pasipo dini.
Tambua kanisa sio dini ila ni sehemu ya jumuia katika dini na kanisa ni kutaniko inamaana ni dhehebu au jumuia moja wapo. Nafikiri jibu la mtoa mada linapatikana zaidi agano la kale katika vitabu vi5 vya awali vilivyoandikwa na musa. Kwakuwa katika hvyo ndimo mianzo ya vyote duniani ilipochorewa hasa kitabu cha MWANZO
Hivi mkuu dini ni nini? Na una maoni gani kuhusu hoja ya kutenganisha dini na Mungu?Absolutely Hakuna Mahali Kwenyr Biblia,Quran Bhagavad Gita au Sehemu yoyote kwenye Vitabu vitakatifu waliagiza Tumuabudu Mungu Kupitia Dhehebu Fulani..
Hata Hao Viongozi wa Kidini hawakuwahi Kuwa na Madhehebu
Wewe unawashwa sio?Watu wanahitaji ukweli na sio kutokuamini Mungu tu, huko kutoamini Mungu ni sehemu ya uchaguzi tu na ndio maana tunaona wasioamini Mungu nao w wanatoka huko na kuwa waamini Mungu, sasa ingekuwa kutoamini Mungu ndio ukweli wenyewe basi tusingeona wapinga uwepo wa Mungu kuacha huo msimamo.
Wewe kukosoa imani ya Mungu haikufanyi kuwa wewe na huo msimamo wako upo sahihi, chunguza huo msimamo wako nawe kama upo sahihi usitumie nguvu nyingi kubishana na kupinga uwepo wa Mungu tu. Umezaliwa umekuta watu wana misimamo hiyo uliyonayo(atheism).
Wapi nimetaka?Muhimu kusema ukweli kuwa huo ni mtazamo wa atheists ila wengine wana mitazamo tofauti kama Agnostics. Tatizo wewe unataka ionekane madai ya kwamba hakuna Mungu ndio ukweli na si mtazamo tu wa watu.
Usipanic.Wewe unawashwa sio?
Kuna sehemu nimetaka mtu asiamini uwepo wa Mungu?
HaiwezekaniWakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..
Vyovyote vile bado naamini yupo..
Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.
Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?
Natanguliza shukrani....
Sio wewe unayesema humu hakuna Mungu na kwamba haihitaji akili sana kujua hakuna Mungu?Wapi nimetaka?
Hivi wewe unawashwa au?
Kwa hiyo nikisema hivyo kinacho kuwasha ni nini?Sio wewe unayesema humu hakuna Mungu na kwamba haihitaji akili sana kujua hakuna Mungu?
Kwani wewe kinachokukera nini? Hutaki kuambiwa ukweli?Kwa hiyo nikisema hivyo kinacho kuwasha ni nini?
Madhehebu ya dini yana nafasi gani katika utatibu wa jinsi kumuabudu Mungu?Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..
Vyovyote vile bado naamini yupo..
Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.
Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?
Natanguliza shukrani....
Ukweli gani?Kwani wewe kinachokukera nini? Hutaki kuambiwa ukweli?
Ni Roman Catholic la mitume, chini ya Petro kama kiongozi mkuu mengine ni kuisumbua tuuSasa Mungu wa kweli anapatikana dhehebu gani, maana nimetumia zaidi ya miaka 20 kwenye dhehebu ambalo nilidhani ndo dini ya kweli lakini baada kufanya utafiti nimevunjika moyo na mambo ya dini....
Kwa kweli kama Mungu atagawa uzima wa milele kwa kutazama mafungamano na hzi dini naona kabisa ntashndwa...
Ufalme ni dhana ya kibinadamu. Kwanini Mungu awe na ufalme? Je Mungu ni mfalme?Nakubaliana na hili mkuu...
Dhehebu nililokuwemo lina kawaida ya kuhubiri lengo ni kugeuza watu wawe wa hlo dhehebu, binafs nimekuwa nikiona s sahhi, badala yake waambiwe kuhusu UFALME WA MUNGU na kile utawafanyia na kile wafanye kuurithi, ambacho ni kuacha dhambi na kumfuata kristo..
Mkuu ahsante maneno yako yamenisaidia sana, nilipanga kugeukia ATHEISM