ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Najaribu kufikiri je inawezakuwa Jubilee kwa kushirikiana na CCM walitengeneza urafiki kati ya NASA na CCM ambao CCM ili play kama under cover wa Jubilee?.
Kwamba CCM na Jubilee walifikia hatua ya tengeneza mgogoro hewa wa kibiashara baina ya Kenya na Tanzania kitu kilichoiaminisha NASA kwamba kuna uadui kweli kati ya CCM na Jubilee.
Uadui ambao uliifanya NASA kuiamini na kuishirikisha CCM[under cover wa jubilee] kwenye mipango yake ya siri.Uadui ambao umeisukuma CHADEMA kwa Jubilee na utakaotumika in reverse way kwenye uchaguzi ujao wa Tanzania.