Je inawezakuwa Jubilee waliitumia CCM kuiangamiza NASA?

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
7,895
Reaction score
13,643
Najaribu kufikiri je inawezakuwa Jubilee kwa kushirikiana na CCM walitengeneza urafiki kati ya NASA na CCM ambao CCM ili play kama under cover wa Jubilee?.

Kwamba CCM na Jubilee walifikia hatua ya tengeneza mgogoro hewa wa kibiashara baina ya Kenya na Tanzania kitu kilichoiaminisha NASA kwamba kuna uadui kweli kati ya CCM na Jubilee.

Uadui ambao uliifanya NASA kuiamini na kuishirikisha CCM[under cover wa jubilee] kwenye mipango yake ya siri.Uadui ambao umeisukuma CHADEMA kwa Jubilee na utakaotumika in reverse way kwenye uchaguzi ujao wa Tanzania.
 
Najaribu kufikiri je inawezakuwa Jubilee kwa kushirikiana na CCM walitengeneza urafiki kati ya NASA na CCM ambao CCM ili play kama under cover wa Jubilee?. Kwamba CCM na Jubilee walifikia hatua ya tengeneza mgogoro hewa wa kibiashara baina ya Kenya na Tanzania kitu kilichoiaminisha NASA kwamba kuna uadui kweli kati ya CCM na Jubilee. Uadui ambao uliifanya NASA kuiamini na kuishirikisha CCM[under cover wa jubilee] kwenye mipango yake ya siri.Uadui ambao umeisukuma CHADEMA kwa Jubilee na utakaotumika in reverse way kwenye uchaguzi ujao wa Tanzania.
Watz kwa theories za kufikirika mpo juu.NAKUMBUKA YULE ALIYESEMA ANAIONA CCM KM LIMBUYU LIKUBWA FULANI. Hata mawaziri wa bongo ktk kila matukio wana matamko ya kushangaza sana na baada ya muda mfupi yanagongana mfululizo, wanaweza waje na melezo kibao, kisha wakamalizia kuwa bado issue ipo ktk uchunguzi au ipo mahakamani. Elimu haikupaswa kupewa watanzania. Mnai abuse sana.
 
chadema wameiba kura nchi jirani
CCM kila mahali ni aibu, hivi huu ujinga ambao haujaweza hata vuka dara ndio unataka upeleka international? CCM ni hovyo sana, hivi bado mnadhani ile miaka ndio hii? Mlikuwa mnatia aibu na kuwadanganya watanzania mmeonewa, mnapigwa vita kwa vile mmekataa sijui kuuza nini cha nchi ili wawapiganie na kuwapa support .Sasa hivi mkileta upuuzi mkirudi mnapewa tuu, hata mdai sijui tundu lissu sio mzalendo,sijui nini hakuja mtu wa kufuga ujinga.
 
We mchaga Acha ropoka hovyo uwe na shukrani... CCM miaka nenda rudi imewabeba sana kwenu uchagani lami hadi migombani kwa miaka yote bado mkakosa shukrani.

Sisi wa kigoma hata barabara za kuunganisha mkoa tu imekua tabu kwa miaka yote 50 leo mnailaani CCM? Hovyo sana wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh, ccm imembeba nani?CCM ndio imebebwa, kipindi wazee wenu wanacheza bao, ajira pekee ni ccm, wazee wetu walikuwa wakiwalisha kwa kodi hadi mkajisahahu mkadhani utawala wa nchi na shughuli za kiserikali nihaki yenu na sio kufanya kazi ya kuingizia taifa. tatizo limefikia mahali ni kwamba hamfai popote tena, kuendesha nchi hamuwezi kwa vile akili zenu ni kikwazo kwa uchumi wa nchi, kuingia mitaani kufanya kazi halali hamuwezi. Sasa mmebaki mnaweka jam tuu kila mahali na kufanya maigizo yanayochosha kabla hata hamjamaliza.
 
Kama ni hivyo inukeni basi sasa hivi teh teh.... ndio maana tuliondoka kwenye chama chenu cha kichaga.... sasa hivi Magu kawasafisha wote serikalini kama mlikua hambebwi kimbieni wenyewe sasa tuwaone.....

Ahsante Magu now a days hata Mwandiga tunaonekana watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo inukeni basi sasa hivi teh teh.... ndio maana tuliondoka kwenye chama chenu cha kichaga.... sasa hivi Magu kawasafisha wote serikalini kama mlikua hambebwi kimbieni wenyewe sasa tuwaone.....

Ahsante Magu now a days hata Mwandiga tunaonekana watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa ni Kishoia ever... !!!!
 
Kwani mwanzo mlikuwa mnaonekana nani?Au nyie mlikuwa mnajiona nani? Cha kushangaza tangu mwanzo mliachiwa mgawane vyeo, hadi leo bado hamjui shida yenu ni nini?Bahati mbaya mnachoshukuru leo ni balaa yenu ya kesho.Sasa ndio mmeamsha watu, sasa watafanya kazi wakiwa na akili kichwani. nawachukia watu ambao walikwenda wekeza hadi huko kwenu, si ndio km mnawaambia walipaswa fanya kwao. Tazama Mrema kajenga arusha kuliko kwake ingawa mliwahubiria siasa za chuki, Tazama akina Mengi wamewekeza Dar kuliko kilimanjaro, kila mkoa wamewekeza malia mbayo wangewekeza kilimnjaro sijui ingekuweje.Ungekuwa gerezani km mhamiaji haramu.
 
Simameni kwa Miguu yenu.... hizo hotel angejenga migombani huko rombo angelala nani? Au huyo mengi angewekeza moshi angenunua nani? Wao si wanafuata wateja? Huko kwenu Kuna wateja?

Acheni kufuru wakuichukia CCM ni sie wa kigoma Sio nyie mliobebwa miaka nenda rudi kuweni na shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa ni Kishoia ever... !!!!
teh teh. huyo jamaa anatia huruma. Ni aina ya mabaki ya watu wenye sumu ya ujamaa vichwani.Wandhani wanaweza EXPORT UJINGA NA KUPATA HELA ZA KIGENI. Ni km north korea au gaddafi na wajinga wenzake waliokuwa wakidhani wana cha kwenda elimisha watu duniani.
 
teh teh. huyo jamaa anatia huruma. I aina ya mabaki ya watu wenye sumu ya ujamaa vichwani.Wandhani wanaweza EXPORT UJINGA NA KUPATA HELA ZA KIGENI. Ni km north korea au gaddafi na wajinga wenzake waliokuwa wakidhani wana cha kwenda elimisha watu duniani.
Ha ha haaaaaa... Bado wanasubiri pesa ya Acacia.
 
Toa kashfa na dharau zote ila this time ngosha kakomesha..... kufuli kila kona ili kila mtu sasa atembee kwa Miguu yake......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa kashfa na dharau zote ila this time ngosha kakomesha..... kufuli kila kona ili kila mtu sasa atembee kwa Miguu yake......

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakomesha nani sasa. Uko ulipo pengine unasoma magazeti ya udaku, na sources za habari kwako ni akina pole pole.Lazima nuwe mnahadithiana majungu. Matajiri walizoitafuta hela bila kubebwa na ccm, bado wanapiga huku wanalia na wewe ili wazidi kukukamua huku ukifurahi. Utanunua tuu simu madukani kwao, utapanda magari yao, utakula ktk bara zao, utajenga kwa kununua material kwao na hakuna utakachonunua bila CASH kwa vile kila kitu dunia ya leo kimeshakuwa hitaji la muhimu.Hata km huna hela bado utataka jenga kwa tiles zao feki, utanunua (Radio, TV, Simu tena feki ili uwahi kumsikiliza huyo unayedhani anakukomboa) kwao. By the time jamaa anaondoka unapigwa wimbo mwingine jamaa wanatoa mahela yao waliyoyapiga kimya kimywa ili wakuambie wamefungulia neema.Kisha uje utawala mwingine unaofuja hela km alivyowalaza njaa mkapa mkaanza jifariji kuwa mnaweka akiba, mnaliapa madeni, Jk akaja akawachekesha akafuja na dili zake sijui mabilioni ya JK, sijui nini na nini, kawaachi amadeni na hali mbaya kabisa. Kwa akili zenu nyie wakabila, ni rahisi kuwanyima kitu kwa kuwapa mkishike.Ndio maana mnakomaa na uongozi wa nchi kuliko kufanya kazi halali, ndio maana mnagombea kula bure kuptia uogozi msiouweza, sasa mnaanza piga mayowe mnahujumiwa.Ndio dalili za kufikia mwisho wa akili ndogo kuongoza kubwa.Kila siku mtakuwa na hofu tuu.
 
Tapika yote ila mmenyooshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simameni kwa Miguu yenu.... hizo hotel angejenga migombani huko rombo angelala nani? Au huyo mengi angewekeza moshi angenunua nani? Wao si wanafuata wateja? Huko kwenu Kuna wateja?

Acheni kufuru wakuichukia CCM ni sie wa kigoma Sio nyie mliobebwa miaka nenda rudi kuweni na shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh, kwani mnalala nyie?Nyie mkienda ni kujipedekeza tuu. hizo mnazolala nyie sio ndio zipo hoi kwa vile mlishazoea kupeana tenda kikabila , sasa hivi mnachapana wenyewe. Wenzenu wana wateja wa kigeni au wafanya biashara wenzao. Wakenya wanalala na kujaza hotel nyingi sana za tz haswa Arusha, Moshi especially hizi za aina ya mijini. ingawa hata dar kuliko nchi nyingi sana pamoja na nyingine zinazlenga watalii wa nje ya Africa. Hao wageni ndio wenye pesa, SASA hao wageni na sarakasi za CCM wapiwapi?Nyie jikateni mikia mkidhani mnakata mikia ya watu msiowapenda.
 
Ha ha haaaaaa... Bado wanasubiri pesa ya Acacia.
Wajamaa sio tuu wana laana, ila wenyewe ni laana. Ndio maana huwa wanafilisika, wanaweza uza shamba kwa kesi ya rungu.Wanaweza kopa hela nyingi kuliko hela wanayotegemea ktk mafao au madai ayasiyo na msingi. Acacia wanaweza wapa dili mezani ya kuwapa sifa ili wanunue mgodi mwingine kw akubadilishana na sifa ya kisiasa. halafu baada ya miezi miwili wiki leaks wakaja wasafisha kwa kujifanya wamepata leak jisni acacia walivyowapiga bao watz.Si hivyo hivyo walimlipua yule mwingine kuwa alihongwa suti. Hapo ndio itakuwa aibu ya hizi sarakasi na inaweza kuja kipindi cha uchaguzi ujao.
 
Teh teh, kwani mnalala nyie?Nyie mkienda ni kujipedekeza tuu. hizo mnazolala nyie sio ndio zipo hoi kwa vile mlishazoea kupeana tenda kikabila , sasa hivi mnachapana wenyewe. Wenzenu wana wateja wa kigeni au wafanya biashara wenzao. Wakenya wanalala na kujaza hotel nyingi sana za tz haswa Arusha, Moshi especially hizi za aina ya mijini. ingawa hata dar kuliko nchi nyingi sana pamoja na nyingine zinazlenga watalii wa nje ya Africa. Hao wageni ndio wenye pesa, SASA hao wageni na sarakasi za CCM wapiwapi?Nyie jikateni mikia mkidhani mnakata mikia ya watu msiowapenda.
Ndugu utasema yote ila ni wakati sasa wote tule keki ya taifa kwa usawa.... Sio wengine lami ziende migombani tena kwa kodi zetu Sio hela zenu za mfukoni wengine hata kwenda kwetu tu barabara ya kuunganisha mkoa tabu.... hii si haki.... now amepatikana rais wa haki. Tunakula sawa.

Mbona lami za migombani zinakuuma Sana Mkuu? Na nyinyi Si mjenge Tu mpaka kwenye michikichi? Au migebuka na mawese ndio imegundulika awamu hii?
 
Back
Top Bottom