Inafahamika kuwa kupitia TCU unaweza kusoma kozi mbili kwa intake moja.
Mathalan uchukue bachelor of arts with education na wakati huo huo uchukue bachelor of law.
Ila je kwa mujibu wa NACTE unaweza kusoma kozi mbili za diploma kwa intake moja!?
Mathalan usome diploma in primary teaching na diploma in food science kwa wakati mmoja?