Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Nahisi yule wa aliyeibuka hadharani kutetea taasisi flani za mkwanja kuhusu vat
Ndio huyo huyo. Kaingia choo cha kike kinyume nyume!Nnobe Lundu huyu huyu wa "TOB"!!?.
Beno Nduru wa BoT? maana ndo miongoni mwa masalia ya jk yaliyobaki.....Nahisi yule wa aliyeibuka hadharani kutetea taasisi flani za mkwanja kuhusu vat
Waamuke!Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi
sio boss wangu huyu?!Mzee wa twin towers, kakalia kuti kavu
Mwambie Mdhee Tumbua amdhumbue huyu WemboNashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!
Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi
100 % ur correct.Beno Nduru wa BoT? maana ndo miongoni mwa masalia ya jk yaliyobaki.....
Peter Msechu wa bongo flavaWho's that guy over there.?
Sema sijaona, sio hatujaona. Usitusemee kila raia ana maono yake, hayo ni yako binafsiHii tumbua tumbua ndio iliyompa Magufuli umaarufu, sasa baada ya kuisha naona umaarufu wake umeshuka kwa kasi,
bajeti yake haieleweki inawasaidia vipi wanyonge, viwanda vyake hatujaona mkakati wowote, anajandamiza wapinzani kwa kuwa watamuumbua na sera zake
Amebaki kuja kuleta exaggeration za ajabu kama mtu aliyekuwa anaiba milioni 7 kwa dakika [emoji23] [emoji38]
Ndulu amemaliza siku nyingi mkataba wake ktk utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria. Anasubiri Rais apate MTU mwingine afaaye.Mzee wa twin towers, kakalia kuti kavu
Nawakilisha kundi kubwa la watuSema sijaona, sio hatujaona. Usitusemee kila raia ana maono yake, hayo ni yako binafsi
Kundi kubwa?Nawakilisha kundi kubwa la watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nnobe Lundu huyu huyu wa "TOB"!!?.
unawakilisha kundi kubwa la viatu weweNawakilisha kundi kubwa la watu
hahaaaa, hasira za nini kaka? mtu akitofautiana na wewe una mind?unawakilisha kundi kubwa la viatu wewe