Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

Update ya Utumbuaji
Hata Utumbuaji wa Wazuri wa mambo ya ndani, Mhe. Kangi Lugora, umefanywa kistaarabu.

Rais Magufuli aliishapokea taarifa ya madudu yao kitambo kupitia njia za kiserikali, waziri, katibu Mkuu na kamishna wa jeshi la zimamoto na uokoaji wote walijua kuwa hili rais ameisha lipata, Katibu Katibu Mkuu is the only one who did the right thing kwa kuandika barua ya kujiuzulu. Waziri na Kamisha waling'ang'ana kwenye nafasi zao.

Mpaka jana asubuhi rais Magufuli alipoyasena madudu yao, na kuwashangaa bado wapo, walikuwa bado hawajatumbuliwa, ni madudu yao tuu yamewekwa hadharani lakini wao hawakutumbuliwa. Enzi za tumbua za mwanzo, ilikuwa Lugora na kamisha watumbuliwe siku ile ile rais amepokea ripoti ya madudu yao,

Kwa vile kwa sisi huku nje ya serikali, no one knows rais Magufuli alipokea lini ripoti ya madudu hayo, ila ile asubuhi anazindua zile nyumba ndipo akautangazia umma madudu yale huku Waziri bado ni Waziri na hajatumbuliwa.

Halafu rais Magufuli akalalamikia madudu hayo publically huku Waziri bado ni Waziri, na baadae jioni ndipo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kijazi akatoa taarifa ya uteuzi na kutumbuliwa kwa Waziri Kangi Lugora, haya ni mabadiliko chanya. Utumbuaji huu sio wa papara, na haukutangazwa kwa hamasa kwenye ile live!.

Tukisema this man is changing for the better, we are very right and truthful this man is changing for better. Siku hizi hakuna tena Utumbuaji wa papara
P
Mimi nilivyomsikia JPM jana, Kangi pia aliandika barua ya kujiuzulu na akamkubalia. Ila alishangaa kumkuta pale (kwa vile alishaandika barua).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini, this bold man niliyemzungumza hapa, naye leo kutumbuliwa!. Ndani ya cabinet yetu, sijui kama kuna bold mwingine yoyote aliyebakia, tumebakiwa na ma "yes men" only!.
Jee tutafika?.
P
Nadhani kutumbuliwa kutaendelea kuwepo tena sana kwa kusoma ramani ya uchaguzi mkuu 2020 ili kukonga nyoyo za watu
 
Nanusa harufu ya Utumbuaji mwingine, this time ni Mkuu wa Taasisi moja ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania kwa upande wa makusanyo, the biggest cash cow.

Kwa watu wanaojua historia ukifuatilia viongozi fulani walikutana wapi, na baada ya mmoja kupata kileleni, alawavuta washikaji kwenye strategic positions mashirika uti wa muongo.

Sasa unapomuano PM, anakuwa mkali, kuwakaripia washikaji wa naniliu, ujue kuna taarifa sio nzuri kuwa mshikaji anaharibu!. Kwa vile ni dam dam na tumetoka mbali, tumepiga madili mengi pamoja, ila ni watu wasiojua kusoma trends, hata kama mlipiga dili wote enzi zile kule, sasa unaletwa hapa na unaendelea kupiga dili, huku ukijiaminisha, akishtukia, nitafanya kama enzi zile, kwa kumkatia!, kumbe hajui mwenyewe sasa kawa Mzalendo kiukweli ukweli kabisa, no more deals!. Hivyo PM, anapokuwa mkali kivile kwa washikaji hawa ambao hawakukutana barabarani, sisi trends readers tunaona mshikaji amewachoka washikaji, ndio kamtuma PM, na kinachofuata, kutaibuliwa madudu ya ajabu, and there will be no way out but kumtumbua mshikaji, ila Utumbuaji huu utafanyika kistaarabu!.

At this juncture, naomba nisiseme kwanza ni Mkuu gani kutumbuliwa hivi karibuni wala ni wa Taasisi gani, ila Utumbuaji ukiisha fanyika ndio nitakuja kukuunganishia the dots.

Nimeileta humu ili wewe upate ile the jf advantage, be the first to know.

Nje ya mada mkuu,naweza kupata wapi ripoti ya CAG ya TPA ya 2019/2020?
 
failure to coup with time being......mazoea nasema yana tabu yake for the time being msifanye yale ya siku zile majukumu yamekuwa mengi mno kwa sasa na miradi mingi mno kwa ilani ya chama chetu inatusubiri
 
Nanusa harufu ya Utumbuaji mwingine, this time ni Mkuu wa Taasisi moja ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania kwa upande wa makusanyo, the biggest cash cow.

Kwa watu wanaojua historia ukifuatilia viongozi fulani walikutana wapi, na baada ya mmoja kupata kileleni, alawavuta washikaji kwenye strategic positions mashirika uti wa muongo.

Sasa unapomuano PM, anakuwa mkali, kuwakaripia washikaji wa naniliu, ujue kuna taarifa sio nzuri kuwa mshikaji anaharibu!. Kwa vile ni dam dam na tumetoka mbali, tumepiga madili mengi pamoja, ila ni watu wasiojua kusoma trends, hata kama mlipiga dili wote enzi zile kule, sasa unaletwa hapa na unaendelea kupiga dili, huku ukijiaminisha, akishtukia, nitafanya kama enzi zile, kwa kumkatia!, kumbe hajui mwenyewe sasa kawa Mzalendo kiukweli ukweli kabisa, no more deals!. Hivyo PM, anapokuwa mkali kivile kwa washikaji hawa ambao hawakukutana barabarani, sisi trends readers tunaona mshikaji amewachoka washikaji, ndio kamtuma PM, na kinachofuata, kutaibuliwa madudu ya ajabu, and there will be no way out but kumtumbua mshikaji, ila Utumbuaji huu utafanyika kistaarabu!.

At this juncture, naomba nisiseme kwanza ni Mkuu gani kutumbuliwa hivi karibuni wala ni wa Taasisi gani, ila Utumbuaji ukiisha fanyika ndio nitakuja kukuunganishia the dots.

Nimeileta humu ili wewe upate ile the jf advantage, be the first to know.

P
CCM maji ya shingo
 
Back
Top Bottom