Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

Update
View attachment 367312

Rais wa Jamhwi ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Sylvester Michael Mpanduji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO).

Prof. Sylvester Michael Mpanduji alichukua nafasi iliyoachwa na Mhandishi Omary Jumanne Bakari ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
P.
 
This man is changing for the better, hata Waziri Nape alipotumbuliwa, haikusemwa popote kuwa rais ametenfua uteuzi wa Nape, bali aliteua tuu mtu mwingine bila kusema lolote kumhusu Nape. Zile tumbua tumbua za papara na kutaka sifa sasa basi. Because he is changing for the better, tumsupport.

Paskali
 
This man is changing for the better, hata Waziri Nape alipotumbuliwa, haikusemwa popote kuwa rais ametenfua uteuzi wa Nape, bali aliteua tuu mtu mwingine bila kusema lolote kumhusu Nape. Zile tumbua tumbua za papara na kutaka sifa sasa basi. Because he is changing for the better, tumsupport.

Paskali
Kwani kuna siku uliacha kumsupport Rais Magufuli na Makonda tuache uongo! Wewe mzee wewe
 
Kwani kuna siku uliacha kumsupport Rais Magufuli na Makonda tuache uongo! Wewe mzee wewe
Mkuu Arovera, sio kosa lako na hauko peke yako, Watanzania wengi hawapendi kujisomea kuongeza maarifa, wanapenda sana kusema sema na kulalamika kuliko kujua facts. Take time kunisoma kwenye mabandiko haya 20 kumhusu Magufuli na haya 5 kumhusu Makonda uone jinsi ninavyo wasupport
  1. Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi ...
  2. Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa ...
  3. Udikiteta ni Dhana Tuu or ni Real?. "Lets Call A Spade A Spade ...
  4. Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
  5. Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  6. Jee Kitendo Cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio ...
  7. Wito kwa Baba Jesca: Watendee Haki Kina Jesca Wote Ili Nao Wapate ...
  8. Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila ...
  9. Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...
  10. Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli ...
  11. If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's ...
  12. Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
  13. Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya ...
  14. Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
  15. Faida na Hasara za Maamuzi ya Zimamoto: Tuletewe Mrejesho Isije ...
  16. Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! We Need ...
  17. Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa ...
  18. Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
  19. Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye ...
  20. Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Makonda
  1. Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu ...
  2. Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
  3. Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu ...
  4. Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya? | Page 20 ...
  5. Makonda, only the truth will set you free! | Page 2 | JamiiForums ...
Paskali
 
Pascal Mayalla hapana ilikua utani kidogo tu naifaham vyema misimamo yako toka enzi na enzi, najifunza mengi kwako nisiendelee sana ndio maana kwa kukufaham natumia neno mzee.
 
anauma anapuliza!
Mkuu CHUAKACHARA, sio kuwa ninauma na kupulizia, bali mimi ni mkweli daima na mtenda haki, akifanya mazuri ninapongeza, na akifanya mabaya ndio ninakosoa. Kuna watu ambao uwezo wao wa uoni, ni unidirectional only, wao ni one sided, wanaona upande mmoja tuu, wa mabaya, hata afanye mazuri vipi, wao hawaoni, uwezo wao ni kuona mabaya tuu, kitu ambacho sio fair kwa sisi wapenda haki bin haki, akifanya mabaya, akosolewe, ila akifanya mazuri, apongezwe!.

Rejea ya Pongezi Mbalimbali Kwa Rais Magufuli
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na ...
Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Kama Magufuli Anaangalia Clouds TV na Kuipongeza, Kunatuma Ujumbe ...
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...
Hongera Rais Magufuli kwa kumruhusu Dangote achimbe Makaa ya Mawe ...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Mwito Kwa Wana JamiiForums Kuhusu Ukosoaji wa Rais Magufuli | Page ...
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za ...
Serikali Yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian", Jee ni Kweli ...

P.
 
Huu utumbuaji unafanywa sasa ni utumbuaji wa kistaarabu, kwa mtumbuliwa kutumbuliwa kimya kimya kwa mteuliwa mpya kuteuliwa kwanza, katika taarifa ya uteule mpya, inawekwa sentensi moja tuu kuwa uteuzi wa alikuwa Mkurugenzi Mkuu, umetenguliwa!.

Hii ni dalili nzuri kwa huko tuendako, ule utumbuaji wa masifa na mbwembwe za ziara za kushutukiza sasa basi!, utumbuaji unafanywa kimya kimya ki sailensa, na unafanyika kwa heshima na staha kwa mtumbuliwaji!.

Hongera sana rais wetu JPM kwa kuwa msikivu, katika utumbuaji wa siku hizi wa kistaarabu, unaofanyika kwa staha bila kutaja sababu za kutumbuliwa, tofauti na zile Tumbua tumbua za mwanzo za masifa huku sababu za watu kutumbuliwa!.

Paskali
Rejea.
Leo Naibu Waziri Mambo ya Nje, Dr. Susan Kolimba, ametumbuliwa kistaarabu, kwa sababu za kutumbuliwa kuhifadhiwa.

Hata Nape alitumbuliwa kistaarabu, yeye hata kuelezwa ametumbuliwa hakuelezwa ni uteuzi mpya tuu ulifanyika.

Hii ni dalili nzuri katika utumbuaji.
P
 
sasa utumbuaji sio tuu unafanyika kwa makini zaidi, bali pia unafanyika kwa kistaarabu kidogo,ikiwemo subra na kutumika kwa busara zaidi ya hisia!, tena na sio ghafla na kushtukiza kama tumbua


Do you mean huyu atatumbuliwa kwenye chumba maalumu cha upasuaji tofauti na wale wengine walikuwa wanatumbuliwa wakiwa mlangoni hata kama jipu limekaa pabaya!?
 
Kama kawaida yetu sisi wana JF, unapokutana na habari yoyote kubwa from a trusted source, na wewe unawapakulia wana JF wenzako, ili kuwafanya wana jf kuendelea kuipata ile jf advantage ya "Be the first to know!", kuwa kuna kiongozi mwingine mkuu wa taasisi ya umma, atatumbuliwa next week!.


Lakini we P unakumbuka kule Simiyu kwenye maadhimisho fulani ulitajwa kuwa umemwagia hili jamvi maji machafu!?
 
Lakini we P unakumbuka kule Simiyu kwenye maadhimisho fulani ulitajwa kuwa umemwagia hili jamvi maji machafu!?
Nikumbushe nilitajwa na nani?, na ilielezwa nini, nimemwagia hili jamvi maji machafu kivipi?.
P
 
Nikumbushe nilitajwa na nani?, na ilielezwa nini, nimemwagia hili jamvi maji machafu kivipi?.
P


Screenshot_2018-09-26-12-18-32.png
 
Wanabodi,

Declaration of interest
Mimi Paskali wa JeiEfu, naunga mkono utumbuaji majipu wa rais Magufuli unaofanywa kwa haki, staha na kistaarabu.

Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua kunakofanywa na uongozi wa awamu ya tano, kuna baadhi yetu, mimi nikiwemo, tunaounga mkono nia njema na ya dhati, ya rais wetu katika tumbua tumbua hizi, kwa kusema "He is doing the right thing, at the right time, but sometimes he is doing it in a wrong way!", tukisisitiza, mtindo anatumia kutangaza kutumbuliwa huku, sometimes ni wrong way na kuna double standards katika tumbua tumbua hizi, huku wengine wakitumbuliwa kwa kelele, aibu na udhalilishaji huku sababu za kutumbuliwa zikitajwa, huku wengine wakitumbuliwa kistaarabu, sababu zao hazitajwi.

Pamoja na kuwa kiongozi wetu ni binadamu na sio malaika, hivyo anaweza kufanya makosa, ila kwa vile macho na masikio yote ya Watanzania yako kwake, he has an obligation ya perfectionism, to be perfect!, "He got to do the right thing, at the right time, and do it right!".Watanzania

Sasa leo katika pita pita yangu, viwanja fulani, nikakutana na very encouraging news ya mkuu fulani wa taasisi fulani ya umma ilikuwa atumbuliwe, ila utumbuaji huo umeahirishwa na muda na kusongezwa mbele!. Hizi ni habari za kutia moyo sana kwa sababu sasa inaonyesha kuna kila dalili ya kupungua kwa papara na utumbuaji wa 'fuahisha genge', na badala yake, kuongezeka kwa umakini, kuwepo kwa subra na matumizi ya busara badala ya mihemuko kwenye zoezi la tumbua tumbua!.

Kama kawaida yetu sisi wana JF, unapokutana na habari yoyote kubwa from a trusted source, na wewe unawapakulia wana JF wenzako, ili kuwafanya wana jf kuendelea kuipata ile jf advantage ya "Be the first to know!", kuwa kuna kiongozi mwingine mkuu wa taasisi ya umma, atatumbuliwa next week!.

Kiongozi huyo wa taasisi ya umma (jina kwenye mabano) iliyo chini ya wizara fulani (kwenye mabano), ilikuwa atumbuliwe wiki hii, lakini utumbuaji huo, umeahirishwa kidogo kwa sababu fulani maalum na muhimu, hivyo atatumbuliwa rasmi anytime next week, or probably kuanzia weekend ya wiki hii au mwanzoni mwa wiki ijayo inayoanzia Julai 11!.

Nawaombeni msiniulize source, kwa sababu nafuata misingi ya kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source" wala msiniulize ni mkuu wa taasisi gani, iko chini ya wizara gani, na kwa nini anatumbuliwa!.

Tangu tumbua tumbua ianze, tumeshuhudia watu wakitumbuliwa papo kwa papo wengine kwenye kadamnasi ya watu kwa mtindo ambao hufanywa na ma populist leaders wa tawala zote za kiimla kote ulimwenguni!, wengine wetu mimi nikiwepo, tukalipigia sana kelele hili la tumbua tumbua za papara na kukurupuka!, sasa nafarijika kuwa kilio chetu hatimaye kimesikika, mtumbuaji amekuwa msikivu, zile kelele zetu na kiritiki kwa zoezi la utumbuaji wa kutafuta sifa na kutaka tuu kushangiliwa na umati wa watu,zimesikika, sasa utumbuaji sio tuu unafanyika kwa makini zaidi, bali pia unafanyika kwa kistaarabu kidogo,ikiwemo subra na kutumika kwa busara zaidi ya hisia!, tena na sio ghafla na kushtukiza kama tumbuaji za nyuma!.

Nasifu na kuunga mkono kwa asilimia 100% utumbuaji wa majipu unaofanyika kutumbua majipu ya ukweli kwa kistaarabu kwasabu jipu lilioiva halina dawa nyingine yoyote zaidi ya kutumbuliwa, ila sio utumbuaji wa kukomoana, au kuonyeshana, au utumbuaji wa vijibu uchungu ambavyo havihitaji hata kutumbuliwa, bali kunahitajikakuwekwa kwa mfumo ambao kukijitokeza tuu kijipu, kinajitumbua chenyewe bila kuonekana maigizo ya oneman show kutumbua kijipu kimoja, viwili kwa mbwembwe na kushangiliwa na umati wa watu, huku kuihalisia ni mfumo mzima ndio umeoza!.

Utumbuaji wa kiongozi huyu ninayemzungumzia kwenye uzi huu, ilikuwa atumbuliwe papo kwa papo this week lakini kuna majitu very bold nchi hii, yakamkabili mzee mtumbuajia majipu, yaka inject some senses za busara into his head, na kweli juhudi hizo zikazaa matunda!, zoezi la utumbuaji likasitishwa kwa muda, na sio kufanyika kwa ghafla na kwa pupa kama walivyotumbuliwa wengine!, swali kuu la kujiuliza sio mkuu huyo anayetumbuliwa ni nani, bali kuna sababu gani, iliyopelekea mtumbuliwa huyu ambaye alikuwa atumbuliwe wiki hii, lakini utumbuaji huo ukasitishwa, kwa nini utumbuaji usitishwe na ni mtu gani huyo bold enough aliyemkabili mtumbuaji, kuzuia utumbuaji huu?!.

Haya ni maswali wanaojiuliza watu wenye uwezo wa kufanya kitu kinachoitwa "critical thinking" hawa hutafuta "the motive behind", "the causative factors or agents" na "the underlying facts" yaani visababishi, sababu sio zilizosababisha atumbuliwe, bali zilizopelekea utumbuaji uhairishwe na kusongezwa mbele kidogo!.

Majibu ya maswali yote hayo ninayo, ila naomba niyahifadhi kwanza, kuusubiria huo utumbuaji wenye kwanza kama utafanyika, au taahirishwa jumla!, ukiishafanyika, ndipo nitarejea kuwajulisha wanabodi humu, hilo jitu very bold lililomkabili mtumbua majipu, na kitu kilichopelekea kucheleweshwa kutangazwa kwa utumbuaji huo!.

Tip kama hizi sometimes zinasaidia, kwa sababu siku zote utumbuaji hufanywa siri, na hufanyika kwa ghafla, sasa inapotokea taarifa za siri za utumbuaji, zime leak hadi zimetufikia watu kama akina sisi wa media, ili na sisi tukazilikishe kwenye media kama hapa jeiefu, kunaweza kupelekea mtumbuaji akaahirisha jumla utumbuaji huu alioupanga, hivyo tip hii ndio ikawa manusura ya mtumbuliwaji huyu!, na hili likitokea, them mimi nitakuwa sina pa kutokea zaidi ya kuonekana ni muongo na mzushi, kuwa kulikuwa hakuna utumbuaji wowote uliopangwa na ndio maana hakuna yoyote aliyeyumbuliwa kufuatia bandiko hili!.

Nitayakubali matokeo!.

Nawatakia Jumatatu Njema.

Paskali

Update

Huu utumbuaji unafanywa sasa ni utumbuaji wa kistaarabu, kwa mtumbuliwa kutumbuliwa kimya kimya kwa mteuliwa mpya kuteuliwa kwanza, katika taarifa ya uteule mpya, inawekwa sentensi moja tuu kuwa uteuzi wa alikuwa Mkurugenzi Mkuu, umetenguliwa!.

Hongera sana rais wetu JPM kwa kuwa msikivu, katika utumbuaji wa siku hizi wa kistaarabu, unaofanyika kwa staha bila kutaja sababu za kutumbuliwa, tofauti na zile Tumbua tumbua za mwanzo za masifa huku sababu za watu kutumbuliwa

Hongera sana rais wetu JPM kwa kuwa msikivu, masifa hayajengi!.

Paskali


Rejea.
Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete .
Hii Tumbua Tumbua ya Rais MAGUFULI, Hivi KIKWETE Anajisikiaje ...
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ..
Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais
huyu Mayala zamani nilikuwa nahisi jembee kumbee
 
Leo Naibu Waziri Mambo ya Nje, Dr. Susan Kolimba, ametumbuliwa kistaarabu, kwa sababu za kutumbuliwa kuhifadhiwa.

Hata Nape alitumbuliwa kistaarabu, yeye hata kuelezwa ametumbuliwa hakuelezwa ni uteuzi mpya tuu ulifanyika.

Hii ni dalili nzuri katika utumbuaji.
P
Kwani Mwigulu ilielezwa sababu ya kutumbuliwa siku alipotumbuliwa au siku walipoapishwa wapya?
 
Back
Top Bottom