Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,910
Samahani kwa kutoka nje ya mada. Hivi jipu likiwa ktk korodani linatumbuliwa?
Iliyorudishwa ni NIDHAMU ya WOGA na siyo ya heshima na uwajibikaji wa dhati. Hatufiki namna hii!!!Pasco wa JF au yule wa Maonyesho ya saba saba.. Pasco ule utumbuaji ambao wewe unauita kua haukua na busara, ndio uliorudisha NIDHAMU katika serikali... Maana kila mtu alijiona hayuko salama
Iliyorudishwa ni NIDHAMU ya WOGA na siyo ya heshima na uwajibikaji wa dhati. Hatufiki namna hii!!!
Yaani ni lazima wote waishe!!!Beno Nduru wa BoT? maana ndo miongoni mwa masalia ya jk yaliyobaki.....
Angalia usije kuwa mmoja wa watakao msindikiza!sio boss wangu huyu?!
Hata akichukua Mtu wa Hiyo kanda ni sawa , sababu ukichukua hesabu za probability itaku direct Huko na si Suala la unajimu, pili ni utiifu kwa serikali lakini ukiweka ukawa yatatokea ya Mzee Teim!! Raisi anasema no to IMF mzee Teim Ana sema yes , au rejea ya Jambazi White' na Mambo ya LPT, sasa inakuwa Ngumu kumuweka Mtu anaye kosa loyalty kwaamlaka husika. Hata kuchaguliwa kwa current head wa TOB vs the Current leader wa Dbrc ambaye aliifuatilia Hiyo position toka Enzi za Che Nkapa akifikiria ataipata wakati wa Boys to Men, mamlaka ya uteuzi ukastuka!!! Na la mwisho Watu wa ukawa ni wezi saana , hivyo kuwapa TOB yetu itakuwa ni kumpa chui kazi ya kulinda mbuzi!!Baada ya kutumbuliwa hiyo position itachukuliwa na kanda ya ziwa.
Kwani lazima ulifahamu hilo kundi kubwa. Hata kama ni mimi ba yeye tu tayari ni kundi tena kubwa maana hujui ushawishi tulio nao katika jamii.Kundi kubwa?
Wewe ni mpiga ramli!huwa nawashangaa watu wanaowaza sanaa kuhusu mtu kutumbuliwa papo kwa papo,, kwamba marehemu ka.bwe uamuzi wa kumla kichwa haukua umepangwa kabla? kwamba ulishinikizwa na kelele za watu?? kwamba watu wengi wangesema asitumbuliwe basi angepona?? nani anafahamu kwamba wakati se.fue anatangaza kutumbua wenzake alikua keshaga tumbuliwa zamaaaani na alikua akifaham?? kama hujui rudi angalia video zake zote muangalie tu machoni utaelewa
Name calling can be costly. Kuwa mwangalifu!Lowassa alikuwa hajatoa fungu ndiyo maana ulikuwa humuoni sasa fungu limetoka karibu pasco mayala
Jamaa anapunguza sana morale ya wafanyakazi...mtu ana handle maproject ya mabilion unataka umlipe sh mil 5??Wakuu wote wa taasisi na mairika ya umma waliitwa Dodoma wiki 2 zilizopita na noja ya maazimio waliyopewa ni juu ya mishahara na marupuruupu yao. Sasa hivi vimepunguzwa sana na wengi wataachia ngazi wenyewe......
Huu uchochezi sasa... kwa hiyo Mh. Rais anakurupuka..? Unasema kwa mafumbo ya nn, kuwa straight.. ni yupi kati ya Gavana au C.A.G..?
Kamanda Sirro, kamata Pasco haraka... mchochezi..!!
Reason: Kusema Mh. Rais anakurupuka..!!
5mils jina lako la kitajir sana hasa zingekua $$$$Maskini Nnobe Lundu! Daah. Huu mchezo hauhitaji hasira!
Hiki in kiswahili cha Kifipa. Nimecheka sana hakika. mukeniWaamuke!
Mkuu hahaaaaMaskini Nnobe Lundu! Daah. Huu mchezo hauhitaji hasira!