Akimgusa huyu jamaa atakuwa kachemka! maana jamaa namkubari sana hana nidham ya woga!Maskini Nnobe Lundu! Daah. Huu mchezo hauhitaji hasira!
Akimgusa huyu jamaa atakuwa kachemka! maana jamaa namkubari sana hana nidham ya woga!Maskini Nnobe Lundu! Daah. Huu mchezo hauhitaji hasira!
Kwani umeona ni nyumbu?Nawakilisha kundi kubwa la watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km sio thinker,hpa hutoki na kitu...Nnobe Lundu huyu huyu wa "TOB"!!?.
Huyu wa sasa anatumbua kidigital....Wakati huo wa mwl jkn alikuwa anawasitiri kidogo kwa kumuita mtumbuliwa,kumtajia makosa yake na kumwamuru AUTANGAZIE UMMA YEYE BINAFSI YA KWAMBA "NIMEONELEA NIACHIE NGAZI KUTOKANA NA TATIZO LA KIAFYA"
•mwl.alitumbua kwa mtindo huu.
Umeielewa mada hii? Msiwe mnafyatuka ki mwendokasi,soma elewa kisha changia! INashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!
Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi
Bila ya shaka ni yeye!Mzee wa twin towers, kakalia kuti kavu
Akina sisiNawakilisha kundi kubwa la watu
Wewe ni mudawote.Nashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!
Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi
Tulia dawa iwaingieWewe ni mudawote.
Maana una mahaba na Mbowe.
Bank watalipaje hiyo VAT wakati hiyo ni kodi ya mlaji?TRA Kodi(VAT 18%) zikatwe BANK ------ BOT Kodi(VAT 18%) wakatwe wateja(wananchi)
Nnobe Lundu huyu huyu wa "TOB"!!?.
Nashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!
Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi
Sidhani kama serikali ina hisa za kutosha katika benki hiyo hadi iwe na mamlaka ya kuteua mkurugenzi,,,,,,,,,,,but kuhusu uteuzi wa huyo mkurugenzi wa CRDB sina uhakika sana nani mwenye mamlakaKwani yeye Mkurugenzi kateuliwa na nani? Ilhari CRDB ni taasisi ya Umma.
Jijengee tabia ya kuwa na aibu ya ubongoBaada ya kutumbuliwa hiyo position itachukuliwa na kanda ya ziwa.