Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

Nashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!

Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi
Hatumii kodi zetu.
 
Sema sijaona, sio hatujaona. Usitusemee kila raia ana maono yake, hayo ni yako binafsi
Si lazima na wewe uhusike ndio uwingi ukubalike. Yawezekana wewe umeona lakini yeye pamoja na mimi, na mwingine hatujaona. Kwa maana hiyo, yupo sahihi kusema hatujaona.
 
Mzee wa twin towers, kakalia kuti kavu
Amechoka kukaa Tanzania, acha atumbuliwe akakae Marekani!! Alipaswa akae kimya na aishauri serikali kuhusu VAT, na sio kurukia magazeti, hata kama ingekuwa mm, ningemtumbua, haendani na kasi iliyopo!!!
 
Pasco wa JF au yule wa Maonyesho ya saba saba.. Pasco ule utumbuaji ambao wewe unauita kua haukua na busara, ndio uliorudisha NIDHAMU katika serikali... Maana kila mtu alijiona hayuko salama
Umenena! Utumbuaji ule ulikuwa wa maana sana katika kuonyesha dhamira ya kutaka kurejesha utendaji serikali na nchi kwa ujumla irudi ktk mstari stahiki. Nakumbuka miaka ya nyuma Watanzania tulikuwa tukiwashangaa Wanigeria ambao walikuwa wanasifika kwa rushwa, dili na utapeli. Baada ya kufanya uongozi ni bidhaa inayonunulika tukajikuta na sisi Watanzania tumekuwa zaidi ya Wanigeria! Uzalendo, uadilifu na uwajibikaji ukafa, rushwa, dili na utapeli ukawa ndio mtindo wa maisha. Kwa vyovyote vile Rais makini mwenye uchungu na nchi alipaswa awe na mbinu madhubuti na tofauti. Mbinu ya kutumbua majipu kwa muda mfupi tu imefanya makubwa! Pongezi zimwendee Rais Magufuli. Hivi sasa hata kama atatumbua kimya kimya hakuna neno maana tayari "message sent and delivered"! Na wananchi tuliokuwa tunalilia apatikane Rais mzalendo anayesikia uchungu kuona Tanzania yetu ilivyochafuliwa na walafi, sasa tunafurahia kuona walafi wanavyotumbuliwa bila ganzi!
 
huwa nawashangaa watu wanaowaza sanaa kuhusu mtu kutumbuliwa papo kwa papo,, kwamba marehemu ka.bwe uamuzi wa kumla kichwa haukua umepangwa kabla? kwamba ulishinikizwa na kelele za watu?? kwamba watu wengi wangesema asitumbuliwe basi angepona?? nani anafahamu kwamba wakati se.fue anatangaza kutumbua wenzake alikua keshaga tumbuliwa zamaaaani na alikua akifaham?? kama hujui rudi angalia video zake zote muangalie tu machoni utaelewa
Hizo ni hisia zako!
Drama za darajani zilikuwa mtu anashtaki, then pilato anahoji!
Muda wa hukumu ulipofika, pilato akageukia umma kupata maoni yao na mwisho akatenda aliyotenda!
Sasa kama alikuwa ameshamaliza kila kitu, kwanini waigize jukwaani? Kwa faida ya nani? Kwanini wapange kumdhalilisha mtumishi wa umma hadharani namna ile? Where is the natural justice, mtuhumiwa hakupaswa kujitetea kabisa pale pilato alipokuwa anahoji ili afikie fair judgement? Hata kama lilikuwa igizo bado lilikuwa na kasoro!
 
Nashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!

Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi

People are discussing contentious issues, supprisingly you are making a fun of the issues
 
Wanabodi,

Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua kunakofanywa na uongozi wa awamu ya tano, kuna baadhi yetu, mimi nikiwemo, tunaounga mkono nia njema na ya dhati, ya rais wetu katika tumbua tumbua hizi, kwa kusema "He is doing the right thing, at the right time, but in a wrong way!", tukisisitiza, mtindo anatumia kutangaza kutumbuliwa huku, sometimes ni wrong way.

Pamoja na kuwa kiongozi wetu ni binadamu na sio malaika, hivyo anaweza kufanya makosa, ila kwa vile macho na masikio yote ya Watanzania yako kwake, he has an obligation ya perfectionism, to be perfect!, "He got to do the right thing, at the right time, and do it right!".Watanzania

Sasa leo katika pita pita yangu, viwanja fulani, nikakutana na very encouraging news ya mkuu fulani wa taasisi fulani ya umma ilikuwa atumbuliwe, ila utumbuaji huo umeahirishwa na muda na kusongezwa mbele!. Hizi ni habari za kutia moyo sana kwa sababu sasa inaonyesha kuna kila dalili ya kupungua kwa papara na utumbuaji wa 'fuahisha genge', na badala yake, kuongezeka kwa umakini, kuwepo kwa subra na matumizi ya busara badala ya mihemuko kwenye zoezi la tumbua tumbua!.

Kama kawaida yetu sisi wana JF, unapokutana na habari yoyote kubwa from a trusted source, na wewe unawapakulia wana JF wenzako, ili kuwafanya wana jf kuendelea kuipata ile jf advantage ya "Be the first to know!", kuwa kuna kiongozi mwingine mkuu wa taasisi ya umma, atatumbuliwa next week!.

Kiongozi huyo wa taasisi ya umma (jina kwenye mabano) iliyo chini ya wizara fulani (kwenye mabano), ilikuwa atumbuliwe wiki hii, lakini utumbuaji huo, umeahirishwa kidogo kwa sababu fulani maalum na muhimu, hivyo atatumbuliwa rasmi anytime next week, or probably kuanzia weekend ya wiki hii au mwanzoni mwa wiki ijayo inayoanzia Julai 11!.

Nawaombeni msiniulize source, kwa sababu nafuata misingi ya kitu kinachoitwa "the confidentiality of the source" wala msiniulize ni mkuu wa taasisi gani, iko chini ya wizara gani, na kwa nini anatumbuliwa!.

Tangu tumbua tumbua ianze, tumeshuhudia watu wakitumbuliwa papo kwa papo wengine kwenye kadamnasi ya watu kwa mtindo ambao hufanywa na ma populist leaders wa tawala zote za kiimla kote ulimwenguni!, wengine wetu mimi nikiwepo, tukalipigia sana kelele hili la tumbua tumbua za papara na kukurupuka!, sasa nafarijika kuwa kilio chetu hatimaye kimesikika, mtumbuaji amekuwa msikivu, zile kelele zetu na kiritiki kwa zoezi la utumbuaji wa kutafuta sifa na kutaka tuu kushangiliwa na umati wa watu,zimesikika, sasa utumbuaji sio tuu unafanyika kwa makini zaidi, bali pia unafanyika kwa kistaarabu kidogo,ikiwemo subra na kutumika kwa busara zaidi ya hisia!, tena na sio ghafla na kushtukiza kama tumbuaji za nyuma!.

Nasifu na kuunga mkono kwa asilimia 100% utumbuaji wa majipu unaofanyika kutumbua majipu ya ukweli kwa kistaarabu kwasabu jipu lilioiva halina dawa nyingine yoyote zaidi ya kutumbuliwa, ila sio utumbuaji wa kukomoana, au kuonyeshana, au utumbuaji wa vijibu uchungu ambavyo havihitaji hata kutumbuliwa, bali kunahitajikakuwekwa kwa mfumo ambao kukijitokeza tuu kijipu, kinajitumbua chenyewe bila kuonekana maigizo ya oneman show kutumbua kijipu kimoja, viwili kwa mbwembwe na kushangiliwa na umati wa watu, huku kuihalisia ni mfumo mzima ndio umeoza!.

Utumbuaji wa kiongozi huyu ninayemzungumzia kwenye uzi huu, ilikuwa atumbuliwe papo kwa papo this week lakini kuna majitu very bold nchi hii, yakamkabili mzee mtumbuajia majipu, yaka inject some senses za busara into his head, na kweli juhudi hizo zikazaa matunda!, zoezi la utumbuaji likasitishwa kwa muda, na sio kufanyika kwa ghafla na kwa pupa kama walivyotumbuliwa wengine!, swali kuu la kujiuliza sio mkuu huyo anayetumbuliwa ni nani, bali kuna sababu gani, iliyopelekea mtumbuliwa huyu ambaye alikuwa atumbuliwe wiki hii, lakini utumbuaji huo ukasitishwa, kwa nini utumbuaji usitishwe na ni mtu gani huyo bold enough aliyemkabili mtumbuaji, kuzuia utumbuaji huu?!.

Haya ni maswali wanaojiuliza watu wenye uwezo wa kufanya kitu kinachoitwa "critical thinking" hawa hutafuta "the motive behind", "the causative factors or agents" na "the underlying facts" yaani visababishi, sababu sio zilizosababisha atumbuliwe, bali zilizopelekea utumbuaji uhairishwe na kusongezwa mbele kidogo!.

Majibu ya maswali yote hayo ninayo, ila naomba niyahifadhi kwanza, kuusubiria huo utumbuaji wenye kwanza kama utafanyika, au taahirishwa jumla!, ukiishafanyika, ndipo nitarejea kuwajulisha wanabodi humu, hilo jitu very bold lililomkabili mtumbua majipu, na kitu kilichopelekea kucheleweshwa kutangazwa kwa utumbuaji huo!.

Tip kama hizi sometimes zinasaidia, kwa sababu siku zote utumbuaji hufanywa siri, na hufanyika kwa ghafla, sasa inapotokea taarifa za siri za utumbuaji, zime leak hadi zimetufikia watu kama akina sisi wa media, ili na sisi tukazilikishe kwenye media kama hapa jeiefu, kunaweza kupelekea mtumbuaji akaahirisha jumla utumbuaji huu alioupanga, hivyo tip hii ndio ikawa manusura ya mtumbuliwaji huyu!, na hili likitokea, them mimi nitakuwa sina pa kutokea zaidi ya kuonekana ni muongo na mzushi, kuwa kulikuwa hakuna utumbuaji wowote uliopangwa na ndio maana hakuna yoyote aliyeyumbuliwa kufuatia bandiko hili!.

Nitayakubali matokeo!.

Nawatakia Jumatatu Njema.

Pasco

Rejea.
Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete .
Hii Tumbua Tumbua ya Rais MAGUFULI, Hivi KIKWETE Anajisikiaje ...
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ..
Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais
Pasco, kk huwa unagonga fact!!!
 
M
 
Amechoka kukaa Tanzania, acha atumbuliwe akakae Marekani!! Alipaswa akae kimya na aishauri serikali kuhusu VAT, na sio kurukia magazeti, hata kama ingekuwa mm, ningemtumbua, haendani na kasi iliyopo!!!

si kila kasi ina tija. ni jana tu kasi imeua watu 30 Singida.
 
__800x800_5392aec368507.jpg

aliyemsaidia ni Kadinali Pengo
na magu hapindui kwa Kadi
Tatizo la waswahili kama ilivyo kwa kiongozi wenu hamsomi...Umeambiwa atakayetumbuliwa ni Prof, wewe unamwaza tu Mchechu!
 
Nashangaa mnapohangaika kumshauri Magufuli na kumuacha mfalme Mbowe akitumia mabilioni ya fedha kufanya maandamano nchi nzima , lkn akiulizwa lini atajenga ofisi ya chadema anasema hana hela !!!!

Ufipa boys amukeni kutoka usingizini chadema inaliwa na mafisadi

ulisoma shule kweli wewe?
mbona unatoka on discussion kabisa,
kwa nini usichangie maada kwa usahihi japo una mtazamo wako?
hata mtoto hawezi kwenda OP namna!
mashaka makubwa na ufahamu wako!
basi acha kabisaa kuchangia, soma tuu na uende zako haja!
mmmmmm.......
 
Back
Top Bottom