blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
- Thread starter
- #521
SiweziNikishindwa kuweka picha yangu hapa huwezi kuthibitisha Mungu wako yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SiweziNikishindwa kuweka picha yangu hapa huwezi kuthibitisha Mungu wako yupo?
Kwa nini? Nisipoweka picha yangu Mungu wako anakuwa hayupo?Siwezi
Kwahiyo Mungu hakujua kama Adam atakula tunda?Kila kitu ni mpango wa Mungu ila kwa sababu binadamu tumeumbwa na akili nyingi mpaka inasababisha wakati Mwingine binadamu anakuwa na mipango yake binafsi hivyo anachelewesha aua kughailisha kabisa kusudi la Mungu
Mfano adamu na hawa wale walibadilisha kusud la Mungu na Mungu akawaamuru waijaze Dunia kwa sharti la mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho
Sababu Mungu upo nae humuoni nataka nikuonyeshe.Kwa nini? Nisipoweka picha yangu Mungu wako anakuwa hayupo?
Picha yangu ndiyo Mungu wako?
Kusudi maalum la MunguKwahiyo Mungu hakujua kama Adam atakula tunda?
Je yote ni mpango wa Mungu? Na huyu jamaa mbishi pia kafanywa kuwa mbishi ili kusudio la Mungu litimie?Kusudi maalum la Mungu
Huwezi kunionesha huyo Mungu bila mimi kutoa picha yangu?Sababu Mungu upo nae humuoni nataka nikuonyeshe.
Hilo swali si kwamba linamaliza mjadala bali linataka kukwepa mjadala,post namba [HASHTAG]#487[/HASHTAG] nimejaribu kukuonesha hilo neno imani linatafsirika vp kwenye ule mfano wako kwa kutumia maana uliyoisema wewe.Kwa sababu swali hilo linamaliza mjadala kama imani ni hakika ama la.
Jibu swali tafadhali, usilikwepe.
Hujathibitisha Mungu yupo.Hilo swali si kwamba linamaliza mjadala bali linataka kukwepa mjadala,post namba [HASHTAG]#487[/HASHTAG] nimejaribu kukuonesha hilo neno imani linatafsirika vp kwenye ule mfano wako kwa kutumia maana uliyoisema wewe.
Matokeo yake unakuja kuniuliza kama nakubali au nakataa kwamba imani ni kukubali jambo bila kuwa na hakika?
Wewe hayo ndio unayoyaweza maana ni kazi rahisi.Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha.
Kwa sababu hayupo.
Kama yupo, thibitisha.
Imani maana yake ni kitu kisicho na hakika, sasa wewe una hakika au huna hakika kwamba Mungu yupo?Wewe hayo ndio unayoyaweza maana ni kazi rahisi.
Ukiambiwa suala la Mungu ni imani unadakia kusema hapa haujadili imani,kumbe hata hilo neno imani hujui lina maana gani.
Tangia nianze kujadiliana na wewe suala la uwepo wa Mungu basi nimekuw nikiona maana tofauti tofauti kutoka kwako kwa hilo neno imani,hata hapo umekuja na maboresho tena kwamba ni "kitu kisicho na hakika"na sio tena "kukubali jambo bila kuwa na hakika" au "si hakika".Imani maana yake ni kitu kisicho na hakika, sasa wewe una hakika au huna hakika kwamba Mungu yupo?
Sasa hapo tofauti iko wapi?Tangia nianze kujadiliana na wewe suala la uwepo wa Mungu basi nimekuw nikiona maana tofauti tofauti kutoka kwako kwa hilo neno imani,hata hapo umekuja na maboresho tena kwamba ni "kitu kisicho na hakika"na sio tena "kukubali jambo bila kuwa na hakika" au "si hakika".
We hizo maana za imani haujaanza kubadili katika huu mjadala tu,miaka yote ndiyo unavyofanya hivyo.Sasa hapo tofauti iko wapi?
Tofauti ya msingi iko wapi wakati habari zote zinahusu kutokuwa na hakika?
Thibitisha Mungu yupo.
Tangu nimeanza kujadiliana na wewe, hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa hiyo Mungu wenu alikuwa na makusudio mengine Ila yakabadilishwa na wanadamu ambao ni Adam na Hawa!?Kila kitu ni mpango wa Mungu ila kwa sababu binadamu tumeumbwa na akili nyingi mpaka inasababisha wakati Mwingine binadamu anakuwa na mipango yake binafsi hivyo anachelewesha aua kughailisha kabisa kusudi la Mungu
Mfano adamu na hawa wale walibadilisha kusud la Mungu na Mungu akawaamuru waijaze Dunia kwa sharti la mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho
kama uncle Magu tu hapangiwi anapanga mwenyeweMungu ameweka machaguo mawili tu uchaguzi ni wako ukubali au ukatae yeye hatabadilika eti kwakuwa wewe kiranga umehoji haendeshwi na matakwa ya wanadamu Mungu yupo hata ukitaka uthibitisho ama usipo utaka yeye atabski kuwa Mungu mtakutana ukifa ndio utajua mbivu na mbichi
Mkuu, we Mungu wako ni yupi?Kwa hiyo Mungu wenu alikuwa na makusudio mengine Ila yakabadilishwa na wanadamu ambao ni Adam na Hawa!?
Yaani baada ya kumtetea huyo Mungu wenu ndiyo mnazidi kumpoteza kabisa na kutufanya tuamini hayupo.