Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu,
- Je, serikali ina utaratibu huo?
- Kama upo, procedures ni zipi?