Jenchede
JF-Expert Member
- Jul 22, 2014
- 237
- 503
Poleni sana hata msiwe confused ili mradi wazazi wa hao watoto wapo tayari Kazi itakuwa rahisi maana mtapata ushirikiano wao.Duh kiukweli mpaka nimeuliza yaani we are so confused, kwanini hawakusema muda wote huo na mke wa ndoa hajui halafu wawili wameolewa wakiwa na watoto mmoja akiwa na mimba mmh hatari kwakweli na ni wakubwa kuliko mapacha alopata kwa ndoa
Kwa sheria za DNA kwa TZ huwezi kuomba mtu binafsi kuna watu maalum kisheria ambao wanapaswa kuomba kwa niaba yenu. Nchi za wenzetu wameendelea kidogo baba na mama mnaenda hospital mnaambiwa tu taratibu ni hizi basi.
Kwa taratibu zaidi kuna mjumbe alisema ofisi za Maendeleo ila sheria inamtaka Afisa Ustawi ila kuna baadhi ya maeneo shughuli za Ustawi zinafanywa na maendeo so usikute alisema kwa muktadha huo.
Kwa taratibu zaidi naenda ofisi ya Ustawi wa Jamii kwenye Wilaya yako unayoishi atakupa taratibu za kufanya.