Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

Duh kiukweli mpaka nimeuliza yaani we are so confused, kwanini hawakusema muda wote huo na mke wa ndoa hajui halafu wawili wameolewa wakiwa na watoto mmoja akiwa na mimba mmh hatari kwakweli na ni wakubwa kuliko mapacha alopata kwa ndoa
Poleni sana hata msiwe confused ili mradi wazazi wa hao watoto wapo tayari Kazi itakuwa rahisi maana mtapata ushirikiano wao.

Kwa sheria za DNA kwa TZ huwezi kuomba mtu binafsi kuna watu maalum kisheria ambao wanapaswa kuomba kwa niaba yenu. Nchi za wenzetu wameendelea kidogo baba na mama mnaenda hospital mnaambiwa tu taratibu ni hizi basi.

Kwa taratibu zaidi kuna mjumbe alisema ofisi za Maendeleo ila sheria inamtaka Afisa Ustawi ila kuna baadhi ya maeneo shughuli za Ustawi zinafanywa na maendeo so usikute alisema kwa muktadha huo.

Kwa taratibu zaidi naenda ofisi ya Ustawi wa Jamii kwenye Wilaya yako unayoishi atakupa taratibu za kufanya.
 
Jackline Mengi tulia tutekeleze maamuzi ya mahakama mbona Kama umechanganyikiwa?

Hakuna aliesema hao mapacha sio wa mzee Mengi.
 
Asante sana my dear, kwa kwa maelezo yako, so you mean baba wa marehem pia anaweza kurumika kwenye DNA right?

Yes baba anaweza kutumka pia km wako related bac itaonesha tu percentage ya uezekano wa kua wanahusiana cjajua Wataalam Kwa huku nchini kwetu wana ujuzi kiasi gani ila kwa nchi za nje nimeshaona grandparents wamechkuliwa sample na kupimwa na mjukuu kujua km wana uhusiano

na moja nimeiona sister alitaka kuthibitisha kua fulan ni mtoto wa baba yake hivo akachkua sample yake akaenda kupima ( dada + dada) na majbu yalitoka kua kwel ni mdogo wake ambapo baba mtu alkua ashafarki hao walkua wanashea baba tu

Complications inakuja mnaweza Pima ikawa kweli hao watoto wana damu yenu pengne baba yao ni kaka wa marehemu na si huyo marehemu mwenyew hivo kwa vile ni kaka wa marehemu still atakua nae ni babu yake tu huyo mtoto na majbu yatakuja tu wanarelate na hapo utasema kweli ni watoto wa marehemu kumbe wanaemuita uncle ndio baba yao halisi Kwaio situation ya kujua km kwel baba yao ni marehemu bac ipatkane sample ya marehemu ila km kujua tu ni damu yenu bac mtajua km ni damu yenu kwa kupata sample ya mtu wa karbu

Ila itabaki kwa Wataalam wenyew ndio wanajua zaidi kutokana na majbu yalivosoma mfno 50% 25% akipatkana mhusika mwenyew bac majbu mara nying utakuta 99.9% match alleged km ni ya parents to child

Anyway km yupo mama wa marehemu itakua vzur sabbu mama ndio amemzaa mtoto km hakukutokea mistake ya kubadlishiwa mtoto bac ni 100% kua ni mtoto wake hivo uhakika wa kupata matokeo upo sahihi ila kwa babu manake inaweza ikawa hata huyo marehemu mwenyew sio baba yake amepewa mimba na mtu mwengne huko na watu hawajui hivo matokoe kwa hao watoto hamtapata sahihi sabbu aliechukuliwa sample ni baba fake wa marehemu ndio mana ni vzur kufnyia kwa bibi Ila km bibi hayupo bac hata babu anafaa km ni baba kweli wa marehemu majbu mtapata tu kua ni match
 
Poleni sana hata msiwe confused ili mradi wazazi wa hao watoto wapo tayari Kazi itakuwa rahisi maana mtapata ushirikiano wao.

Kwa sheria za DNA kwa TZ huwezi kuomba mtu binafsi kuna watu maalum kisheria ambao wanapaswa kuomba kwa niaba yenu. Nchi za wenzetu wameendelea kidogo baba na mama mnaenda hospital mnaambiwa tu taratibu ni hizi basi.

Kwa taratibu zaidi kuna mjumbe alisema ofisi za Maendeleo ila sheria inamtaka Afisa Ustawi ila kuna baadhi ya maeneo shughuli za Ustawi zinafanywa na maendeo so usikute alisema kwa muktadha huo.

Kwa taratibu zaidi naenda ofisi ya Ustawi wa Jamii kwenye Wilaya yako unayoishi atakupa taratibu za kufanya.
Asante my dear kwa kutupa moyo ki ukweli nimepata mwanga angalau how to start maana ni jambo jipya kwetu kusema kweli
 
Jackline Mengi tulia tutekeleze maamuzi ya mahakama mbona Kama umechanganyikiwa?

Hakuna aliesema hao mapacha sio wa mzee Mengi.
Haahaaaa kwakweli kuna watu mnaudhi mpaka mtu anajikuta anacheka tu, hebu nipishe huko🤣 kwahiyo mimi ni Jacky Mengi haahaa mi shangazi tu my dear
 
Yes baba anaweza kutumka pia km wako related bac itaonesha tu percentage ya uezekano wa kua wanahusiana cjajua Wataalam Kwa huku nchini kwetu wana ujuzi kiasi gani ila kwa nchi za nje nimeshaona grandparents wamechkuliwa sample na kupimwa na mjukuu kujua km wana uhusiano

na moja nimeiona sister alitaka kuthibitisha kua fulan ni mtoto wa baba yake hivo akachkua sample yake akaenda kupima ( dada + dada) na majbu yalitoka kua kwel ni mdogo wake ambapo baba mtu alkua ashafarki hao walkua wanashea baba tu

Complications inakuja mnaweza Pima ikawa kweli hao watoto wana damu yenu pengne baba yao ni kaka wa marehemu na si huyo marehemu mwenyew hivo kwa vile ni kaka wa marehemu still atakua nae ni babu yake tu huyo mtoto na majbu yatakuja tu wanarelate na hapo utasema kweli ni watoto wa marehemu kumbe wanaemuita uncle ndio baba yao halisi Kwaio situation ya kujua km kwel baba yao ni marehemu bac ipatkane sample ya marehemu ila km kujua tu ni damu yenu bac mtajua km ni damu yenu kwa kupata sample ya mtu wa karbu

Ila itabaki kwa Wataalam wenyew ndio wanajua zaidi kutokana na majbu yalivosoma mfno 50% 25% akipatkana mhusika mwenyew bac majbu mara nying utakuta 99.9% match alleged km ni ya parents to child

Anyway km yupo mama wa marehemu itakua vzur sabbu mama ndio amemzaa mtoto km hakukutokea mistake ya kubadlishiwa mtoto bac ni 100% kua ni mtoto wake hivo uhakika wa kupata matokeo upo sahihi ila kwa babu manake inaweza ikawa hata huyo marehemu mwenyew sio baba yake amepewa mimba na mtu mwengne huko na watu hawajui hivo matokoe kwa hao watoto hamtapata sahihi sabbu aliechukuliwa sample ni baba fake wa marehemu ndio mana ni vzur kufnyia kwa bibi Ila km bibi hayupo bac hata babu anafaa km ni baba kweli wa marehemu majbu mtapata tu kua ni match
Wow, sikuwahi kujua hilo, basi ni bora tutumie babu tuna uhakika mzee ni genuine
 
Nendeni mkawapime pamoja na watoto Wa Ndoa plus baba mzazi Wa Marehemu. Kama wana unasaba, basi chance za DNA kumatch % ni kubwa..
Thanks dear
 
Mleeni mtoto, hamuwezi kujua baadae atakuwa nani, pia mtabarikiwa hata kama si wakwenu.

Kuna Makabila pia hawaruhusu KABISA kupima watoto DNA, kwasababu ukigundua sio wa kwenu ukamtelekeza itakuwa laana kwenu

Mleeni mtoto, kwani anakula kiasi gani?
Hilo nalo neno, yaani hujui tu ni kiasi gani natamani hao watoto wote wawe wa kakaangu tuwalee na kuwapa upendo ambao mama zao waliwabania kuupata wakati baba yao akiwa hai
 
Haahaaaa kwakweli kuna watu mnaudhi mpaka mtu anajikuta anacheka tu, hebu nipishe huko[emoji1787] kwahiyo mimi ni Jacky Mengi haahaa mi shangazi tu my dear
[emoji16]
 
Mleeni mtoto, hamuwezi kujua baadae atakuwa nani, pia mtabarikiwa hata kama si wakwenu.

Kuna Makabila pia hawaruhusu KABISA kupima watoto DNA, kwasababu ukigundua sio wa kwenu ukamtelekeza itakuwa laana kwenu

Mleeni mtoto, kwani anakula kiasi gani?
🤣🤣🤣 unaweza lea kumbe sio wenu, wanakuwa wakubwa mama zao wanawaonyesha baba yako ni yule
 
Back
Top Bottom