Je, inawezekana kumhamishia Mwanafunzi kabla selection za Shule hazijatoka?

notyfeky

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
713
Reaction score
730
Mtoto kafanya mtihani wa darasa la Saba mkoa X, kwa sasa amehamia kimakazi mkoa y, kafaulu kwenda kidato cha kwanza.

Je, inawezekana kumhamishia huku aliko kabla selection za Schule hazijatoka? Yaani selection zikitoka apangiwe shule huku aliko badala ya kule alikomalizia drsa la 7?

Naomba muongozo
 
Nenda kwenye mkoa aliosoma,,
Nenda kwa afisa elimu mkoa atakupa barua ya uhamisho.
Atakuuliza chaguo la shule uliyoipendekeza kuhamia,na sababu za kuhama.

Nenda kwa afisa elimu mkoa unaotaka ahamie,
Wape barua ya afisa elimu shule aliyotoka huko mkoani,
Utapewa form ujaze shule 3 chaguo lako.
Watakwambiya urudi baada ya siku kadhaa,,
Utakuta notice board kuonyesha mtoto wako amepata shule ipi..

Mwalimu mkuu wa shule anapohamia hana mamlaka ya kumpokea mtoto shuleni hadi baada ya miezi 3.
Mwenye mamlaka ya kuhamisha mwanafunzi ndani ya miezi 3 Sasa ni afisa elimu mkoani..
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom