Nenda kwenye mkoa aliosoma,,
Nenda kwa afisa elimu mkoa atakupa barua ya uhamisho.
Atakuuliza chaguo la shule uliyoipendekeza kuhamia,na sababu za kuhama.
Nenda kwa afisa elimu mkoa unaotaka ahamie,
Wape barua ya afisa elimu shule aliyotoka huko mkoani,
Utapewa form ujaze shule 3 chaguo lako.
Watakwambiya urudi baada ya siku kadhaa,,
Utakuta notice board kuonyesha mtoto wako amepata shule ipi..
Mwalimu mkuu wa shule anapohamia hana mamlaka ya kumpokea mtoto shuleni hadi baada ya miezi 3.
Mwenye mamlaka ya kuhamisha mwanafunzi ndani ya miezi 3 Sasa ni afisa elimu mkoani..