Je, inawezekana kumpenda mtu deeply bila kumuona?

Madini ya chumvi ya uvinza au!?
 
Habari za jioni/ Usiku ni nzuri.

Ndio naweza kumpenda mtu kwa sauti tu. Hata kama sijawahi kuonana nae Ndiooo. 😊
Ila ya kumpenda deeply ile kimapenzi 🥰 hata Mimi sijui, Na sinauhakika inakuaje.
 
Kama ambavyo Mimi nimekufa na kuoza kwako. Nikiona tu comment yako nasisimka. Moyo wanienda mbio, damu kuwasha na vimulimuli kutawala akilini mwangu.

Aiseee!.
Eeheee mambo ya ukinywa maji unanisoma kwenye glass sio.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…