Je, inawezekana kumpenda mtu deeply bila kumuona?

Nahisi Una hamu na chapati wewe??
 
Umewahi kufuatilia love is blind netflix? Majibu yako yamo humo
 
Wew ahadi nyingi, 😂😂 Halafu unaingia mitini.
Nipo kwenye pepa, ngoja nimalize mitihani ya semester ya mwisho hapa isanga naamini nitakua nimemaliza na kifungo...😉
 
Yes,it is possible
Ila pande mbili zote muwe na hiyo hali
 
Habari za jioni/ Usiku ni nzuri.

Ndio naweza kumpenda mtu kwa sauti tu. Hata kama sijawahi kuonana nae Ndiooo. 😊
Ila ya kumpenda deeply ile kimapenzi 🥰 hata Mimi sijui, Na sinauhakika inakuaje.
Jaribu uone inavyo kuwa
 
Itakua upendo ni kitu subjective sana kama ndio hivyo, kwa maana kila mtu ako na namna yake ya kutengeneza hisia za upendo kwa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…