Je, inawezekana kutoa ruhusa kisheria kwa kituo cha TV kuzalisha pamoja na kurusha kipindi chako kwa muda fulani huku nao wakikulipa kwa makubaliano?

Je, inawezekana kutoa ruhusa kisheria kwa kituo cha TV kuzalisha pamoja na kurusha kipindi chako kwa muda fulani huku nao wakikulipa kwa makubaliano?

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Habari zenu wakuu.

Najua JF kunama-expert kutoka katika kona tofauti tofauti za utaalamu.

Leo nimekukwenu hapa nataka kujua kuwa Kibongo bongo inawezekana ku-license TV station Idea ya kipindi.

Yani kwamba ukawapatia ruhusa kisheria, Ukawapa ruhusa ya kuzalisha pamoja na kurusha kipindi Hicho kwa muda fulani, huku nao wakikulipa licensing fee kulingana na makubaliano mlioyo kubaliana.

paschal mayalla

Kwenu wataalamu.
 
Andika idea yako ...weka plan zako either Kwa Miezi mitatu mbele....wafuate wasafi TV
Ishu sishatoka kwenye level ya idea, kwan nshatengenezaga prototype(demo) na kusajili cosota mwaka jana 2019.
 
Back
Top Bottom