Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Kuna ushahidi kuwa Mhe. yule alitundikiwa drip wakati akipata matibabu ya kuvunjika mguu kwa madai kuwa alivamiwa na watu watatu wasiojulikana, wakati wengine wakidai alianguka kwenye ngazi kutokana na kupiga urabu kupindukia.
Swali langu kwa wataalamu wa afya, je, ni kwa nini mgonjwa wa kuvunjika mguu sehemu ya chini - ankle anatundikiwa drip endapo hakupata bleeding- hakuvuja damu? Ila angekuwa na kidonda wasingefunga POP aka muhogo kwanza. Je, alikosa hata uwezo wa kufungua mdomo na kula kama ilikuwa ni kupata glucose? Nini hasa ilikuwa kazi ya hayo maji dawa? Je, kulikuwa na dawa ya kupelekwa kwenye sehemu ambapo mguu umevunjika? Au ili kuwa ni ganzi? Kama ni ganzi, je, ganzi ya namna hii ipo kweli?
Source: Police say attack on Mbowe doubtful for lack of evidence