Je, inawezekana kutundikiwa 'drip' kwa sababu ya kuvunjika mguu?

Je, inawezekana kutundikiwa 'drip' kwa sababu ya kuvunjika mguu?

Drip ilikuwa ni ya kushusha Konyagi Level ili kiongozi arudi kwenye shughuli za kuiudhi CCM haraka 😀 😀 😀

Konyagi sio ya mchezo, akinyweshwa yule mfupi this time ataenda India moja kwa moja
 
flacture kwenye mfupa wakati nyama na ngozi zipo intact, sasa hiyo fluid ilipoteaje? na ni fluid ipi? bone marrow?
Ndio maana fracture zipo za Aina mbili, kuna "closed fracture" kama aliyopata mbowe na pia kuna "open fracture" , na hizo fracture mbili pia zimegawanyika zaidi so mtu kuvunjika mfupa haimaanishi mpaka utokee kwa nje so anaweza kuvunjika na skin ikabaki kuwa intact hivyo hivyo

Vile vile hata management ya hizo fracture mbili ni tofauti pia ndio maana unaona amefungwa POP
 
Mie sio dokta, lakini ilinitokea nikavunjika mguu kwenye "ankle" na niliwekewa drip nadhani ya kupunnguza maumivu.
 
Drip Sasa hivi imepoteza umaana
ujinga mwingine muwe mnajadili wenyewe huko lumumba wapumbavu nyinyie. mtu hujui hata kazi za drip kisha uwe umemaliza hata form four?hujui kuwa drip zinatumika kupandisha sukari ya mgonjwa ili awe stable na matibabu yaendlee?
 
Back
Top Bottom