simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Inawezekana tu, ila kwa TV tatu hapo unaweza kuongeza kitu kinaitwa splitter maana nyuma ya decoder ya azam kuna tundu moja la kutoa waya wa kwenda kwenye tv ya pili linaitwa RF out, ukiweka splitter apo litatoa nyingi tu.Je inawezekana kuunganisha king'amuzi kimoja(mfano Azam) na tv mbili au tatu vyumba tofauti ?
Zote kuonesha channel chaneli iliyo chaguliwa sio shida.
Nina shaka na hilo! Azam decoder inayo loop out siyo RF out.Loop out inakuwezesha kutumia LNB /dishi moja na ving'amuzi viwili.Inawezekana tu, ila kwa TV tatu hapo unaweza kuongeza kitu kinaitwa splitter maana nyuma ya decoder ya azam kuna tundu moja la kutoa waya wa kwenda kwenye tv ya pili linaitwa RF out, ukiweka splitter apo litatoa nyingi tu.
Fafanua kidogo hapo mkuu, umeniacha tegeta kwa ndevu kabisa hukoyap tafuta kitu kinaitwa splitter, tegemea na port utakayochagua kuna hdmi splitter na av cable splitter
Inawezekana mkuuNaomba niunge swali langu hapa.
Inawezekana kutumia dish moja kila mtu akawa na king'amuzi chake
mfano dish la azam kila mmoja akawa na kinga'amuzi cha azam mka share dish moja?
Kwa njia ipi...Inawezekana mkuu
mfano king'amuzi cha azam kina port mbili tofauti za output za hdmi na zile za kawaida za audio na videoFafanua kidogo hapo mkuu, umeniacha tegeta kwa ndevu kabisa huko
Inawezekana kwa kutumia splitter wengine wanaita distributer lakini remote itakuwa mojaJe inawezekana kuunganisha king'amuzi kimoja(mfano Azam) na tv mbili au tatu vyumba tofauti ?
Zote kuonesha channel chaneli iliyo chaguliwa sio shida.
Ndio lakini hatakuwa na uhuru wa kuchagua chanelsje Dstv unaweza kushare na mtu dish??
Shukrani sana mkuu kwa maelezo.mfano king'amuzi cha azam kina port mbili tofauti za output za hdmi na zile za kawaida za audio na video
hapo utachagua mwenyewe port ya kutumia kama ni hdmi au hio av cable.
kama utaamua ni hdmi itabidi utafute hdmi splitter
hapo unachomeka waya mmoja wa hdmi na hio splitter inakupa port 4 za output ambazo unaweza eka tv 4 tofauti.
kama utachagua av cable nayo hivyo hivyo utanunua spliter yake na kusambaza japo sijawahi ona hio splitter naona to switch.
njia nyengine rahisi ni kucheza na port za tv connect tv ya kwanza na decoder yako halafu tv ya pili itapata signal toka tv ya kwanza na tv ya tatu itapata signal toka tv ya pili. cheza tu na input na output cable
Inawezekana kwa kutumia splitter wengine wanaita distributer lakini remote itakuwa moja
Decoder ya Azam inayo output tatu:Inawezekana kwa kutumia splitter wengine wanaita distributer lakini remote itakuwa moja
je Dstv unaweza kushare na mtu dish??