Maelezo kidogo mkuuKuna ile njia ya kutumia converter... ile ndo kila tv inaona channel yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo kidogo mkuuKuna ile njia ya kutumia converter... ile ndo kila tv inaona channel yake
kuna njia ya kutumia converter ndo kila tv inaangalia channel yake..Shukrani sana mkuu kwa maelezo.
Sasa inawezekana kila TV kuangalia chanell yake au TV moja mfano ikiwekwa ITV basi wote inabidi muangalie ITV??
Matrix hdmi splitter na cable ndefu za hdmi (hadi futi 50) zinapatikana wapi Dar?mfano king'amuzi cha azam kina port mbili tofauti za output za hdmi na zile za kawaida za audio na video
![]()
hapo utachagua mwenyewe port ya kutumia kama ni hdmi au hio av cable.
kama utaamua ni hdmi itabidi utafute hdmi splitter
![]()
hapo unachomeka waya mmoja wa hdmi na hio splitter inakupa port 4 za output ambazo unaweza eka tv 4 tofauti.
kama utachagua av cable nayo hivyo hivyo utanunua spliter yake na kusambaza japo sijawahi ona hio splitter naona to switch.
njia nyengine rahisi ni kucheza na port za tv connect tv ya kwanza na decoder yako halafu tv ya pili itapata signal toka tv ya kwanza na tv ya tatu itapata signal toka tv ya pili. cheza tu na input na output cable
Mkuu ni AV TO RF CONVERTER tu hakuna HDMI to rf converter?kuna njia ya kutumia converter ndo kila tv inaangalia channel yake..
Hyo converter inaitwa AV-RF converter .. ulizia hyo kitu dukani..
Hyo converter inachange signal za AV kuwa za RF.. signal za RF ndo kama zile tulizokua tunapata zamani kwa antena za kawaida...
Kwa hyo hapo output yako ya signal za RF inakupa waya ambao unauchomeka kweye sehem ulipokua unachomeka antena za zamani zileee... then channel zote za king'amuzi zinakaa kwenye zile namba zako za tv yako.. ambapo unatumia remote ya tv yako kuchange zila namba na kuangalia channel zote za hyo receiver... hapo kila tv inaweza kuangalia channel yake.
Zipo HDIM to RCA adaptor iwapo tv yako haina hdim port ya kuunganisha moja kwa moja na hdmi splitter.Mkuu ni AV TO RF CONVERTER tu hakuna HDMI to rf converter?
Zinauzwa bei gani hizo converterkuna njia ya kutumia converter ndo kila tv inaangalia channel yake..
Hyo converter inaitwa AV-RF converter .. ulizia hyo kitu dukani..
Hyo converter inachange signal za AV kuwa za RF.. signal za RF ndo kama zile tulizokua tunapata zamani kwa antena za kawaida...
Kwa hyo hapo output yako ya signal za RF inakupa waya ambao unauchomeka kweye sehem ulipokua unachomeka antena za zamani zileee... then channel zote za king'amuzi zinakaa kwenye zile namba zako za tv yako.. ambapo unatumia remote ya tv yako kuchange zila namba na kuangalia channel zote za hyo receiver... hapo kila tv inaweza kuangalia channel yake.
Bana mnyanga1 nadhani uliwahi kuona tu tv ikibadilisha station kwa remote lakini hukufuatilia kinachofanyika. Kwa kawaida Kingamuzi kimoja kinakamata station moja at a time, k9nachofanyika ni kwamba unakua na ving'amuzi vingi kila kimoja na station yake unaingiza signal ya kutoka kwenye kila kisimbuzi kwenye Mixer then mixer ndio inatoa RF kupeleka kwenye TV katika signal tofauti kwenye RF format kama mawimbi yanayorushwa na tv station hivyo unaweza kuzitune kama station za kawaida za tv.kuna njia ya kutumia converter ndo kila tv inaangalia channel yake..
Hyo converter inaitwa AV-RF converter .. ulizia hyo kitu dukani..
Hyo converter inachange signal za AV kuwa za RF.. signal za RF ndo kama zile tulizokua tunapata zamani kwa antena za kawaida...
Kwa hyo hapo output yako ya signal za RF inakupa waya ambao unauchomeka kweye sehem ulipokua unachomeka antena za zamani zileee... then channel zote za king'amuzi zinakaa kwenye zile namba zako za tv yako.. ambapo unatumia remote ya tv yako kuchange zila namba na kuangalia channel zote za hyo receiver... hapo kila tv inaweza kuangalia channel yake.
Ok mkuu hapo kwenye namba 1 ndio njia ya kuunganisha kisimbuzi kimoja na kingine na kila mmoja atatazama channel aipendayo?Decoder ya Azam inayo output tatu:
1.Loop out hii ni ya kuanganisha na king'amuzi kingine.
2.HDMI output
3.RCA (yellow,white, red) output.
-Moja Splitter inatumika na HDMI au RCA cable?
-Pili HDMI na RCA cables ni fupi ,sidhani zipo ndefu ya chumba hadi chumba.
Ok mkuu hapo kwenye namba 1 ndio njia ya kuunganisha kisimbuzi kimoja na kingine na kila mmoja atatazama channel aipendayo?
Yes kila mmoja atatazama channel aipendayo zilizopo kwenye frequency inayotumia king'amuzi mama.Ok mkuu hapo kwenye namba 1 ndio njia ya kuunganisha kisimbuzi kimoja na kingine na kila mmoja atatazama channel aipendayo?
Nimekupata mkuu thanks.Yes kila mmoja atatazama channel aipendayo zilizopo kwenye frequency inayotumia king'amuzi mama.
tv mnaangalia moja tu, unless una ving'amuzi vingiShukrani sana mkuu kwa maelezo.
Sasa inawezekana kila TV kuangalia chanell yake au TV moja mfano ikiwekwa ITV basi wote inabidi muangalie ITV??
Nipe whatsapp namba yako nkuonyeshe watu wanavyofanyaBana mnyanga1 nadhani uliwahi kuona tu tv ikibadilisha station kwa remote lakini hukufuatilia kinachofanyika. Kwa kawaida Kingamuzi kimoja kinakamata station moja at a time, k9nachofanyika ni kwamba unakua na ving'amuzi vingi kila kimoja na station yake unaingiza signal ya kutoka kwenye kila kisimbuzi kwenye Mixer then mixer ndio inatoa RF kupeleka kwenye TV katika signal tofauti kwenye RF format kama mawimbi yanayorushwa na tv station hivyo unaweza kuzitune kama station za kawaida za tv.
Matrix hdmi splitter na cable ndefu za hdmi (hadi futi 50) zinapatikana wapi Dar?
umepost thread mbili mkuu muombe mod aziunganisheMods hamutendi haki hata kidogo. Zipo post detailed kabisa zinazohusu topic hii imezifuta. Mfano mchangiaji aliye post picha na maelezo ya 1x4 matrix hdmi splitter. This is unfair.
Thanks!hizo splitter nafkiri kvd utazipata mtaa wa makunganya opposite na kituo cha mafuta.
kuhusu hdmi za 50ft sidhani kama zitapatikana kirahisi.
ila nimesoma mahali unaweza tumia category 6 wire(cat 6) kuextend hdmi iwe ndefu. hizi ni waya ambazo zinatumika kutengenezea ethernet cable au kwa kifupi utuconvert ethernet kwenda hdmi
![]()
Hilo linawezekana kupitia tundu la loop out nyuma ya king'amuzi chako.Naomba niunge swali langu hapa.
Inawezekana kutumia dish moja kila mtu akawa na king'amuzi chake
mfano dish la azam kila mmoja akawa na kinga'amuzi cha azam mka share dish moja?
Okay. Anyway post nilizo lalamikia zimerudi siujui issue ni server au browser.umepost thread mbili mkuu muombe mod aziunganishe