Osama bin laden
Member
- Nov 3, 2014
- 15
- 1
Naombeni niululize jaman... Naskiaga kuna receiver ambazo zinafungua channel zote za kulipia mf. Super sports chanel e n. K kwa hapa dar zinapatikana wap??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Technology inabadilika kila cku... usiwe staticBana mnyanga1 nadhani uliwahi kuona tu tv ikibadilisha station kwa remote lakini hukufuatilia kinachofanyika. Kwa kawaida Kingamuzi kimoja kinakamata station moja at a time, k9nachofanyika ni kwamba unakua na ving'amuzi vingi kila kimoja na station yake unaingiza signal ya kutoka kwenye kila kisimbuzi kwenye Mixer then mixer ndio inatoa RF kupeleka kwenye TV katika signal tofauti kwenye RF format kama mawimbi yanayorushwa na tv station hivyo unaweza kuzitune kama station za kawaida za tv.
Kwa C Band tunatumia Single Solution. LNB moja receiver nyingi upendavyo.Je inawezekana kuunganisha king'amuzi kimoja(mfano Azam) na tv mbili au tatu vyumba tofauti ?
Zote kuonesha channel chaneli iliyo chaguliwa sio shida.
Wakuu namimi naombeni kuongezea swali hapo..vipi kwa mtu anaetumia cable,je anaweza akapata channels zinazoonyeshwa na iyo kampuni ya cable kwenye tv mbili tofauti kwa kutumia cable iyo iyo moja?
ndio unapata chanell zote, huku kwetu walikuwa wanaibiwa sana na sindano/pini watu wanachomeka na waya nyembamba then na wao wanaona chanell zote.
sema kuna baadhi ya jamaa wa cable siku hizi nao wana ving'amuzi vyao unaeka na antenna, hawa huwezi kuwachakachua
tafuta kitu kama hiki madukani, sana sana maduka ya dish na antena hata mitaani vipoMkuu ebu nipe maujanja hapo nafanya connection ya namna gani? TV ya sitting room ndo imeunganishwa na cable,nataka niunganishe na Tv ya chumbani pia kwa same cable
Picha zitang'aa kama za king'amuzi OG?kuna njia ya kutumia converter ndo kila tv inaangalia channel yake..
Hyo converter inaitwa AV-RF converter .. ulizia hyo kitu dukani..
Hyo converter inachange signal za AV kuwa za RF.. signal za RF ndo kama zile tulizokua tunapata zamani kwa antena za kawaida...
Kwa hyo hapo output yako ya signal za RF inakupa waya ambao unauchomeka kweye sehem ulipokua unachomeka antena za zamani zileee... then channel zote za king'amuzi zinakaa kwenye zile namba zako za tv yako.. ambapo unatumia remote ya tv yako kuchange zila namba na kuangalia channel zote za hyo receiver... hapo kila tv inaweza kuangalia channel yake.
Mkuu ni AV TO RF CONVERTER tu hakuna HDMI to rf converter?
Weka picha tafadhali.kuna njia ya kutumia converter ndo kila tv inaangalia channel yake..
Hyo converter inaitwa AV-RF converter .. ulizia hyo kitu dukani..
Hyo converter inachange signal za AV kuwa za RF.. signal za RF ndo kama zile tulizokua tunapata zamani kwa antena za kawaida...
Kwa hyo hapo output yako ya signal za RF inakupa waya ambao unauchomeka kweye sehem ulipokua unachomeka antena za zamani zileee... then channel zote za king'amuzi zinakaa kwenye zile namba zako za tv yako.. ambapo unatumia remote ya tv yako kuchange zila namba na kuangalia channel zote za hyo receiver... hapo kila tv inaweza kuangalia channel yake.
Japo too late kucomment,ila hili jambo ni jepesi kama una hela yako tu. Mfano wa lodge au Hotel,ya vyumba 50. Unaweza funga dish moja tu,na kama mfano umelipia kifurushi cha channel 70, wateja wako kila mmoja atachagua channel anayoitaka akiwa chumbani kwake.Vipi kama dish ni moja ,na pia decoder moja lakini tv zaidi ya moja kila tv na remote?
I mean kwani hawa wa cable wanatumia technology gani hadi tukaweza kushea decoder chache watu wengi