Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge.
Kwa mahesabu haya:
1.Ubunge 11 millions
2. Spika 11 + X millions
Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions.
Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa mashirika ya Umma wanachezea 15 millions na Mhe. Rais ana 9.5millions.
Hivyo kwa mtizamo wangu spika Ndugai anabaki kuwa mtumishi wa umma anaekunje pesa ndefu kuliko wote Tanzania.
NB:
Siku zote mshahara wa mwanasiasa ni siri ila wa watumishi wengine sio siri.