Je, inawezekana kuwa spika Ndugai akawa ni Mtumishi Umma anayelipwa zaidi Tanzania?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge.

Kwa mahesabu haya:
1.Ubunge 11 millions
2. Spika 11 + X millions
Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions.

Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa mashirika ya Umma wanachezea 15 millions na Mhe. Rais ana 9.5millions.

Hivyo kwa mtizamo wangu spika Ndugai anabaki kuwa mtumishi wa umma anaekunje pesa ndefu kuliko wote Tanzania.

NB:
Siku zote mshahara wa mwanasiasa ni siri ila wa watumishi wengine sio siri.
 
Leverage in finance is the ratio of a company's loan capital (debt) to the value of its ordinary shares (equity) .
 
Hiyo mishahara inatakiwa ijulikane labda wana sababu za msingi za kwanini wanaficha hatujui mishahara ya wanasiasa
 
Mishahara ya watumishi wa chini yote iko wazi kabisa ila huko juu huwezi jua labda MTU aropoke
 
Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge.

Kwa mahesabu haya:
1.Ubunge 11 millions
2. Spika 11 + X millions
Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions.

Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa mashirika ya Umma wanachezea 15 millions na Mhe. Rais ana 9.5millions.

Hivyo kwa mtizamo wangu spika Ndugai anabaki kuwa mtumishi wa umma anaekunje pesa ndefu kuliko wote Tanzania.

NB:
Siku zote mshahara wa mwanasiasa ni siri ila wa watumishi wengine sio siri.
Acha Wivu
 
Ya kweli haya , na hiyo ina maana gani kwa PM pia ambaye ni mbunge na Waziri Mkuu??
 
Back
Top Bottom