Duh! Siasa tamu sanaInawezekana pia akawa hana kikomo cha matumizi ya pesa!
Mishahara ya watumishi wa chini yote iko wazi kabisa ila huko juu huwezi jua labda MTU aropokeHiyo mishahara inatakiwa ijulikane labda wana sababu za msingi za kwanini wanaficha hatujui mishahara ya wanasiasa
Hilo jina liache tu lina story ndefuLeverage in finance is the ratio of a company's loan capital (debt) to the value of its ordinary shares (equity) .
Acha WivuKatiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge.
Kwa mahesabu haya:
1.Ubunge 11 millions
2. Spika 11 + X millions
Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions.
Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa mashirika ya Umma wanachezea 15 millions na Mhe. Rais ana 9.5millions.
Hivyo kwa mtizamo wangu spika Ndugai anabaki kuwa mtumishi wa umma anaekunje pesa ndefu kuliko wote Tanzania.
NB:
Siku zote mshahara wa mwanasiasa ni siri ila wa watumishi wengine sio siri.
Nani anakubali kuachia utamuSasa utajua kwa nini amekuwa mlamba viatu vya Jiwe
Sio wivu, mtu kama huyo hawezi kuona uchungu wa HESLB kwahiyo hata mkilalamika anaona kama mnatania tuAcha Wivu
Naona spika bado anabaki juuYa kweli haya , na hiyo ina maana gani kwa PM pia ambaye ni mbunge na Waziri Mkuu??