ukara
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 285
- 168
Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu
Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara katika mahusiano yao ya kibiashara kama hapo awali unaanza kujipenyeza taratibu japo wakati huu hakutakuwa na biashara ya utumwa.
Nawaza tu