Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

PLATO_

Senior Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
116
Reaction score
230
Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila.

Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo.

swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan?

Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo Switzerland 🤣🤣
 
Kila Nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo.

swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan?

Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo Switzerland [emoji1787][emoji1787]
Mkuu suala la linguistic ni complicated sanaa lugha inakua developed na kutamka kulingana na mazingira hayo,....kwa mfano ukichukua wasukuma 1m bariadi kishapu ukawapeleka japan ottawa baada ya miaka 50 ukiwarudisha Tz kisukuma chao akitafanana na cha Bariadi japo kuna maneno ya tafanana, ila rafudhi na matamshi yatakua tofauti jiulize kwanini?
 
Lugha hazitokei from nowhere kuna mizizi kwa lugha zilizo kwenye close proximity hivyo zinafanana na kuelekeana umbali unavyozidi na tofauti inaongezeka
 
Mkuu suala la linguistic ni complicated lugha inakua developed na kutamka lulingana mazingira hayo,....hata ukichukua wasukuma 1m ukawapeleka japan baada ya miaka 50 uwarudishe kisukuma chao akitafanana cha Bariadi japo kuna maneno ya tafanana.
Wazigua walioenda Somalia miaka 200 hivi walirudi na kizigua chao hivyo hivyo. Sasa hivi wapo Kijiji cha Chogo wilaya Handeni pale
 
Wazigua walioenda Somalia miaka 200 hivi walirudi na kizigua chao hivyo hivyo. Sasa hivi wapo Kijiji cha Chogo wilaya Handeni pale
Hawawezi kuongea kizingua kile kile neenda ukafatilie uone lugha yao vizuri.
 
Back
Top Bottom