Je, inawezekana mambo yako yakaenda vibaya sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu?

Je, inawezekana mambo yako yakaenda vibaya sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu?

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Naomba kuuliza hivi Mambo yako yanaweza yakaenda vibaya kila unachofanya kisifanikiwe kwa sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu waliotangulia?

Yaani kuwakumbuka kwa kufanya ibada?

Je, kuna mahusiano?
 
Jiulize; wewe mwenyewe utakapoondoka ungependa kizazi chako kikufanyie ibada? If yes, utakuwa na uwezo wa kuwalazimisha wafanye hivyo? Jibu liko kwenye hayo maswali.
 
Mkumbuke Mungu wako aliye mchukua marehemu inatosha
 
Naomba kuuliza hivi Mambo yako yanaweza yakaenda vibaya kila unachofanya kisifanikiwe kwa sababu hujawahi kuwakumbuka ndugu zako marehemu waliotangulia?

Yaani kuwakumbuka kwa kufanya ibada?

Je, kuna mahusiano?
Hakuna uhusiano wala madhara
 
Back
Top Bottom