Je, inawezekana mimba imeingia?

Je, inawezekana mimba imeingia?

Rajabmbisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
316
Reaction score
530
Habari za mida wana jf,

Ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari, alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba.

Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu, nipo kwenye wakati mgumu sijapangi kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
 
siku za hatari
sijapanga kupata mtoto
nipo kwenye wakati mgumu

kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa ila kama dem anajielewa hata kama ww ndo umempa mimba atasingiziwa boya mwingine anayejitambua kidogo kuliko ww mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye
 
Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Kama hujajipanga kwanini ulale na mwanamke? Hujui kuwa matokeo ya kulala na mwanamke ni pamoja na mwanamke kupata mimba au kuambukizana maradhi? Wewe unataka umwage Tu. Subiri matokeo
 
Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Jiepushe na kujamiiana kipindi hiki upo kujitafuta na Mara nyingi ukigusa imo.

Pregready Midstream Rapid Test kanunue hiki kina ditect mimba ya ndani ya week

Ni Bei powa Ila kwa pharmacy watakuuzia my be 10000 Ila kwenye maduka ya wholesale utapata kwa 3500 mpaka 4000 kwa kit mojaa

Hapo ndipo utapata ukweli ipo au haipo
Screenshot_20241223-182314.png
Screenshot_20241223-181751.png
 
Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Haya maswali muwe mnaweka na maelezo yote. Yaani ikiwa na taarifa zote muhimu za mtajwa.

Sasa nitakujibu kwa ujumla kwa kuzingatia wastani wa mzunguko wa wastani wa siku 28. Kama mzunguko utakuwa mrefu au mfupi basi majibu yangu yanaweza yasiwe na usahihi.

Sasa mimba hukamata kuanzia siku ya 14 baada ya siku yake ya kwanza ya hedhi. Kwa muktadha huo, siku zake za hatari zingeanza tar 25 ya mwezi huu. Yaani kwenye Sikukuu ya Noeli.

Sasa tar 20 uliyofanya wewe, nafasi ya kushika mimba ni ndogo, ila haimaanishi hakuna uwezekano kabisa. Manii yenye afya huweza kukaa mpaka masaa 72 tangu siku ya kuachiwa kwao.

Lakini pia zipo sababu ambazo mwanamke anaweza kuwa kwenye siku za hatari na bado asifanikiwe kushika mimba. Ikiwemo magonjwa, uwezo na ubora wa manii, uwezo wa mwanamke kukamata mimba, nk

Sasa uhakika ni kupima ama kusubiri mpaka siku za hedhi yake, asipopata basi tayari jibu unalo.
 
ASante kwa elimu yako nzuri
 
Uyo h

Uyo awez kuwa na maniii bora mtoto tu huyo ajitambui ngoja kije kiumbe wacheze ote kombolela
 
Kwa siku hyo kutokana na kalenda yake probability ya kupata ni kubwa sababu ni kuwa mbegu za kiume zinaeza survive for 72 hrs kwahy yai linaweza kuta bdo zipo active mana kwa kalenda yake ni kuwa tar 21 nd alikuwa anaingia ck zake za hatar na wew umekutana nae tar 20
 
SMA kopo moja ni kama 40k
Diapers bunda moja ni kama 15k-30k

Tuqnzie hapo kwanza, wala usijali coz maisha lazima yaendelee.
 
Attachments

  • Screenshot_20241223_184149_Chrome.jpg
    Screenshot_20241223_184149_Chrome.jpg
    160.8 KB · Views: 3
Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Jiandae kwenda kliniki ya kwanza.Mara ya kwanza wanapima hata ngoma.
 
Mvua na baridi zimekua nyingi

Kipindi hiki kliniki zimejaa sana sana. hongereni nyote 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Palina umeshaanza kliniki? Achana na P2 tunataka wajukuu🤣🤣
 
Back
Top Bottom