Je, inawezekana mimba imeingia?

Je, inawezekana mimba imeingia?

kwa maelezo yako basi siku zake za hatari ni kuanzia tar 21 mpaka tar 27. So kama mpira umepiga nje mzee.
 
Kwa siku hyo kutokana na kalenda yake probability ya kupata ni kubwa sababu ni kuwa mbegu za kiume zinaeza survive for 72 hrs kwahy yai linaweza kuta bdo zipo active mana kwa kalenda yake ni kuwa tar 21 nd alikuwa anaingia ck zake za hatar na wew umekutana nae tar 20
Daah sjui itakuwaje
 
Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Dogo,
Kama upo Dar na kama atajifungulia Mloganzila kwa kisu, andaa mapema kuanzia 3m mambo yasiwe mengi.

Kama bado hujajipata siku nyingine komaa tu na CHAPUTA. Kugegeda ni gharama
 
siku za hatari
sijapanga kupata mtoto
nipo kwenye wakati mgumu

kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa ila kama dem anajielewa hata kama ww ndo umempa mimba atasingiziwa boya mwingine anayejitambua kidogo kuliko ww mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye
😀😀😀
 
Habari za mida wana jf,

Ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari, alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba.

Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu, nipo kwenye wakati mgumu sijapangi kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
100% ni mjamzito maana mlikutana siku ya kumi toka aanze siku zake.jiandae matunzo
 
Back
Top Bottom