Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
Hamna mimb
Saw karib tenasiku za hatari
sijapanga kupata mtoto
nipo kwenye wakati mgumu
kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa ila kama dem anajielewa hata kama ww ndo umempa mimba atasingiziwa boya mwingine anayejitambua kidogo kuliko ww mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye
Kama hujajipanga kwanini ulale na mwanamke? Hujui kuwa matokeo ya kulala na mwanamke ni pamoja na mwanamke kupata mimba au kuambukizana maradhi? Wewe unataka umwage Tu. Subiri matokeoHabari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Jiepushe na kujamiiana kipindi hiki upo kujitafuta na Mara nyingi ukigusa imo.Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Haya maswali muwe mnaweka na maelezo yote. Yaani ikiwa na taarifa zote muhimu za mtajwa.Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Ngoja tuoneKama hujajipanga kwanini ulale na mwanamke? Hujui kuwa matokeo ya kulala na mwanamke ni pamoja na mwanamke kupata mimba au kuambukizana maradhi? Wewe unataka umwage Tu. Subiri matokeo
ASante kwa elimu yako nzuriHaya maswali muwe mnaweka na maelezo yote. Yaani ikiwa na taarifa zote muhimu za mtajwa.
Sasa nitakujibu kwa ujumla kwa kuzingatia wastani wa mzunguko wa wastani wa siku 28. Kama mzunguko utakuwa mrefu au mfupi basi majibu yangu yanaweza yasiwe na usahihi.
Sasa mimba hukamata kuanzia siku ya 14 baada ya siku yake ya kwanza ya hedhi. Kwa muktadha huo, siku zake za hatari zingeanza tar 25 ya mwezi huu. Yaani kwenye Sikukuu ya Noeli.
Sasa tar 20 uliyofanya wewe, nafasi ya kushika mimba ni ndogo, ila haimaanishi hakuna uwezekano kabisa. Manii yenye afya huweza kukaa mpaka masaa 72 tangu siku ya kuachiwa kwao.
Lakini pia zipo sababu ambazo mwanamke anaweza kuwa kwenye siku za hatari na bado asifanikiwe kushika mimba. Ikiwemo magonjwa, uwezo na ubora wa manii, uwezo wa mwanamke kukamata mimba, nk
Sasa uhakika ni kupima ama kusubiri mpaka siku za hedhi yake, asipopata basi tayari jibu unalo.
Utakoma pampers zimepanda bei balaa
ππKopo la maziwa 40,000
Uyo awez kuwa na maniii bora mtoto tu huyo ajitambui ngoja kije kiumbe wacheze ote kombolelaHaya maswali muwe mnaweka na maelezo yote. Yaani ikiwa na taarifa zote muhimu za mtajwa.
Sasa nitakujibu kwa ujumla kwa kuzingatia wastani wa mzunguko wa wastani wa siku 28. Kama mzunguko utakuwa mrefu au mfupi basi majibu yangu yanaweza yasiwe na usahihi.
Sasa mimba hukamata kuanzia siku ya 14 baada ya siku yake ya kwanza ya hedhi. Kwa muktadha huo, siku zake za hatari zingeanza tar 25 ya mwezi huu. Yaani kwenye Sikukuu ya Noeli.
Sasa tar 20 uliyofanya wewe, nafasi ya kushika mimba ni ndogo, ila haimaanishi hakuna uwezekano kabisa. Manii yenye afya huweza kukaa mpaka masaa 72 tangu siku ya kuachiwa kwao.
Lakini pia zipo sababu ambazo mwanamke anaweza kuwa kwenye siku za hatari na bado asifanikiwe kushika mimba. Ikiwemo magonjwa, uwezo na ubora wa manii, uwezo wa mwanamke kukamata mimba, nk
Sasa uhakika ni kupima ama kusubiri mpaka siku za hedhi yake, asipopata basi tayari jibu unalo.
Jiandae kwenda kliniki ya kwanza.Mara ya kwanza wanapima hata ngoma.Habari za mida wana jf,ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari,. alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba,. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya 20,je inawezekana mimba kuingia,wataalamu naomben majibu yenu,nipo kwenye wakati mgumu sijapang kuwa na mtoto kwa Sasa hivi
Palina umeshaanza kliniki? Achana na P2 tunataka wajukuuπ€£π€£Mvua na baridi zimekua nyingi
Kipindi hiki kliniki zimejaa sana sana. hongereni nyote ππΎππΎππΎ