DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Baada ya ujio wa Hon Lissu Pale CDM
Nimejiuliza hili swali.
"Je inawezekana mtu akachezea simba na yanga kwa wakati mmoja na kote huko akajitoa kwa moyo?."
Ikiwa inawezekani basi kuna namna watu waliamua kucheza na akili za Watu kwa mgongo wa siasa.
System
Authority
Power
Chadema ina hold power ila haina authority na system.
Nitarudi.....