Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
MziziMkavu sio kuhusu limao. Deception anasema
1.hakuna HIV kwasababu huyo virus hajawahi kuwa isolated
2.ukimwi upo lkn hausababishwi na hiv bali malnutrition, tb, genetically inherited upungufu wa kinga, cancer, antibiotic, drugs kwa maana madawa ya kulevya na arv
3. Ukimwi una dawa ambayo ni pamoja na lishe antioxidants etc
4. Anasema nyie waganga wa tiba asili mnaijua hiyo siri ndio maana mnajitangaza kutibu HIV ilhali hayupo in the first place
5. Watu wa maombi pia wanajua hiyo issue ndio maana wanatake advantage
6. Vipimo vya HIV including viral loads haviaminiki na havisemi kweli
7. Uwepo wa antigens zinazoonesha HIV+ maana yake hao HIV weshauwawa na kinga
Sasa unakubaliana naye kwa yote hayo au limao tu?
MziziMkavu anazunguka mbuyu anakwepa hoja za msingi Mkuu..
Last edited by a moderator: